Kwa niaba ya Wafanyabiashara wengine wanaoumizwa na hili suala la ushuru wa ‘MABANGO’ kwenye maeneo ya biashara husika halijakaa sawa. Bango liko kwenye duka ambalo umelipia kodi ya pango, ambapo Serikali imekata tayari kodi yake. Bado unaambiwa ulipie ushuru wa bango
Katika kumbukizi ya Miaka 10 tangu Mama yetu afariki, kwa watakaojaaliwa, tunawakaribisha katika khitma (HAWLI) ya kumrehemu Mama yetu Hajjat Shida Salum pamoja na ndugu, jamaa, viongozi wetu, wanazuoni na masheikh wetu waliotangulia mbele ya haki.
Siku: Jumapili, 02/06/2024
Mahala: Kigoma, Mwanga - Kisangani
Muda: kuanzia 4 asubuhi mpaka saa 7 Adhuhuri.
Allahumma Ghfirlaha warhamha
M/kiti wa Chama Maalim @SeifSharifHamad atahutubia Wananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini katika Viwanja vya Shule ya Msingi KIBIRIZI kesho siku ya Jumamosi tar 10/10 kuanzia saa 8:00 Mchana. Wananchi wote mnakaribishwa.
@ACTwazalendo @ACTZanzibar
It is gratifying to see my Leader and Brother Hon. Zitto Kabwe recovering well at Aghakan Hospital. I wish him a very safe and a successful surgery that will be performed tomorrow. He has my prayers!
M/kiti wa Chama Maalim @SeifSharifHamad na Mgombea Urais #Zanzibar ataunguruma kwenye Mkutano wa Kiongozi wa Chama na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Ndugu @zittokabwe tar 10/10 katika Viwanja vya Shule ya Msingi KIBIRIZI. @ACTwazalendo
Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020 kuanzia saa 4:00 asubuhi kutakuwa na uzinduzi wa ILANI ya uchaguzi Zanzibar 2020. Uzinduzi huo utafanyika katika Hotel ya Verde Zanzibar.
#ACTIlaniZanzibar2020@ACTwazalendo @ACTZanzibar
Pembaaaa Ya Zambarau inapendeza sanaaa heee Maalim Seif akiwahutubia Maelfu ya Wananchi katika Mkutano wa Kampeni uliofanyoka @ACTwazalendo@zittokabwe@fatma_karume uliofanyika katika Viwanja vya Mapofu jimbo la Wingwi kisiwani Pemba.
Wanachii wa Jimbo la Kigoma Mjini wakisoma barua ya aliyekuwa mbunge na sasa ni mgombea Ubunge wa Jimbo hilo ndugu, @zittokabwe kupitia chama cha ACT Wazalendo. Barua hiyo inaelezea namna ahadi zilivyotekelezeka za 2015_2020 na ahadi ambazo anaahidi 2020_2025.
#MwamiWanguChaguo
My brother @juliusmassabo najivunia sana wewe kwa hakika jimbo la Muhambwe ni lako.. Hongera sana kwa uzinduzi wa kampeni jimbo kwako hapo jana kiukweli watajua hawajui..
#TheFutureIsPurple#Massabo4Muhambwe