Matamanio yetu ni kuona ulinzi shirikishi unaendelea katika maeneo tunayoishi #Kigoma. Lakini pia mashirika mengine yaendelee kutusaida tuweze kujikwamua na kukomesha matatizo ya ukatili - Annastazia mkazi wa Kigoma.
#CSOWeek2021#ChangeNiSisi
Sisi Azaki ni nyenzo tu ya kufikia mabadiliko. Lakini watu wanaoleta mabadiliko hayo ni wanawake wenyewe - Jane Magigita, EFG.
#VoicesOfPower#ChangeNiSisi#CSOWeek2021