Unapoanza safari ya Mafanikio lazima ukutane na Vikwazo,Lazima ukataliwe kuna wakati utakata tamaa,kuna wakati utaona unapoteza Muda ila Nakusihi usirudi Nyuma Songa mbele πͺπ½πͺπ½
#DONTGIVEUP βπ½
Kwenye maisha mnaweza kuwa rika moja, mkafanya kazi pamoja, mkapambana pamoja ila kudra za Mungu ndio zitaamua yupi ayatangulie mafanikio na yupi awe wa mwisho kuyafikia