@makumbawaleo_5n Same to me, Kuna mwanangu mmoja nilisoma nae then baadae nikasikia alienda Jeshi, bt nimekuja Dom hapa, nimemkuta anahubiri Neno la mungu na Speaker yake mtaani. Kumuuliza anasema eti ni Roho wa Mungu alimshukia akiwa Jeshini akaacha.😃😃😃
@RevocatusMagum1 Sema TFF bhana, eti..."Shabiki ambae huwa anaambatana na maofisa wa ufundi wa klabu." Walishindwa tu kusema MGANGA!? Shabiki gani huwa anaongozana na benchi la Ufundi.😁😁
Zamani nyumbani kwetu alikuja mgeni na ilisemekana ana tabia za kichawi. Muda wa kulala ulipofika milango ilifungwa na funguo zikapelekwa chumbani kwa baba. Asubuhi saa kumi na moja tukasikia mtu akigonga mlango akiwa nje, kumbe ni yule mgeni. Wanandugu wakasema huenda alitoka usiku kufanya harakati zake za kichawi, lakini aliporudi akashindwa kuingia kwa njia aliyotoka.🙂
Matokeo ya jana yanaumiza sana. Lakini nikikumbuka kwamba hii ndiyo Simba inayochekwa kila siku kuwa ni mbovu na haina hata muunganiko bado, napata nguvu na kusema, We’re cooking something. 👊🏽👊🏽 #Simbanguvumoja🦁
#BBCAfricaEye investigates the wave of enforced disappearances surrounding Tanzania’s 2025 presidential election – with claims of attempted silencing of government critics, powerful testimony of severe maltreatment...and the high-ranking official whose name kept coming up.