Kwa miaka 45, Mama Teresa aliwatumikia maskini, wagonjwa na mayatima huko India.
Kutokana na kazi yake ya hisani, alitunukiwa Tuzo ya Amani ya @NobelPrize mnamo 1979.
Mfano wake ulihamasisha kuanzishwa kwa #CharityDay Ijumaa, siku ya kifo chake. https://t.co/L9NAzXSi6Y
Miaka 80 ya Umoja wa Mataifa!
Kuanzia 1945, dhamira imekuwa ni moja: kujenga dunia ambayo mazungumzo yanashinda mapigano, ambapo mataifa yanaweza kutatua migogoro bila vita.
Si rahisi, lakini tunaendelea kwa nguvu.
https://t.co/aDJ4fUuzR2 I
#UN80
@mwlkeberenge@MwitaJulius2000@TumeUchaguziTZ Tunatakiwa kuwa na takwimu za kutosha Kwa kila hatua Ili tuwe na uhalali wa kuzungumza au kuzungumzia chochote kinachohusu Uchaguzi.
Kwa mujibu wa Kibali Cha Uangalizi wa Uchaguzi tulichopata kutoka @TumeUchaguziTZ
Taasisi yetu ya @tcrpgm itafanya Uangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kutoa ripoti mara baada ya Uchaguzi.
Uangalizi umeanza rasmi Leo 27 Agosti, 2025.
#GeneralElectionObservation
Ukame na uharibifu wa ardhi vinahatarisha maisha na riziki duniani kote.
Tunahitaji hatua za haraka za #ClimateAction ili kulinda na kurudisha ardhi bora kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
Jifunze jinsi @UNEP inavyofanya kazi kusaidia. https://t.co/JkFQFnRjrA
Kuchapa, kufinya, kuvuta nywele au kumlazimisha mtoto ale pilipili ni ukatili unaoumiza watoto.
Ripoti mpya ya @WHO inaonya kuwa adhabu za mwili bado ni tatizo majumbani na mashuleni, na zinaharibu afya na maendeleo yao.
Chagua malezi yenye upendo. https://t.co/6WiRlVGDCu
Maziwa yanafunika takribani 4% ya dunia na ni miongoni mwa rasilimali muhimu zaidi za asili.
Lakini yanatoweka kwa kasi kubwa kutokana na uchafuzi, mabadiliko ya tabianchi na matumizi yasiyo endelevu ya ardhi.
Zaidi kuhusu #WorldLakeDay ya kwanza kabisa Jumatano. ⬇️
via @UNEMaziwa yanafunika takribani 4% ya dunia na ni miongoni mwa rasilimali muhimu zaidi za asili.

via @UNEP
TCRPGM: Taasisi mpya iliyoanzishwa Kwa malengo ya kukuza na kuendeleza Tasnia ya Utafiti na kuisaidia Jamii kutumia Matokeo ya Tafiti mbalimbali katika kutatua Changamoto zibazoikanili jamii hiyo.
TCRPGM unafanya Uchambuzi wa Sera
Tunaomba kuungwa mkono Ili kufikia malengo yetu.
🌍✨ Tunakuletea Tanzania Center for Research, Policy, Governance & Media (TCRPGM) – Taasisi ya tafiti, sera, uongozi na mawasiliano.
Lengo letu ni kuimarisha demokrasia, uwajibikaji na maendeleo jumuishi.
#TCRPGM#Research#Governance#Media