@SuluhuSamia Shikamoo mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kwanza nikutakie heri ya mfanano wa siku yako ya kuzaliwa.
Pili nikuombe kwa heshima na mamlaka uliyokuwa nayo,kuweza kuwasaidia ndugu zetu,watanzania wenzetu waliokwama Congo,ktk mji wa Goma,wamezingukwa na waasi.
@privaldinho Kipindi cha kwanza timu ilikuwa haikai na mpira walau hata dk 1.
Wachezaji hawaoneshi morali nyusoni mwao.
Kama kuna kitu hakipo sawa kabisa.
Kule upande wa kibabage kunahitajika beki mbadala.