Ukiwa una shinda Bar, utaanza kuona tabia za kuomba watu pombe ni za kawaida.
Ukiwa una garage utaona tabia za matusi ni kitu cha kawaida.
Ukiwa unashinda vijiweni utaona tabia za umbea na uchonganishi ni kawaida.
MANZINGIRA, MAZINGIRA, MAZINGIRA.
Jamaa kazama bar na demu wake akaagiza beer 🍺 sita za demu na sita za kwake na nyagi mzinga mmoja ,ile wamemaliza bill inakuja laki tano na sabini na nane anauliza imekuwaje anaambiwa mke wako na marafiki zake pale kwenye ile meza wameagiza vinywaji na chakula .
Miaka michache iliyopita nilikutana na mtu mmoja aliyekuwa amefanikiwa sana kwenye biashara.
Tulikuwa tunaongea kuhusu pesa, maisha na mafanikio.
Katikati ya mazungumzo akaniuliza swali moja.
Swali ambalo mwanzoni lilionekana rahisi sana.
👇🏼