Mapema Leo nilipata Nafasi ya Kuzungumza Kuhusu Digital Marketing Pale AzamTVTZ
Vijana, Hapa Nimewawekea njia za 3 za KUKUA Mtandaoni ni rahisi sana - TIPS nyingi zaidi Nakwenda Kufundisha Kwenye Group yangu ya MENTORSHIP CLASS Juni 25.
Ada ya Darasa 50,000 Tu
Mpesa Lipa Namba 5443328 Sponsored ads Tanzania
Mpesa Namba 0742089113 Rodgers mbembela
Ukilipia Tuma Ujumbe WhatsApp +255 674 695 549
Instagram Guru ( Samson Mbembela )
Matangazo Biashara Mtandaoni Bila Kuwa na Mentor hutoboi!
Kwakulijua hilo nimeandaa Mentorship Program Class inayoanza Juni 25. Kwenye Hii Group Utapewa Msaada Mda wowote unapohitaji.
Ada ya Kujiunga na Program 50,000 Tu
Mada Utakazosoma Darasani
1. INSTAGRAM TECH
- Hapa Utajifunza Kuondoa Disabled, Restriction, Madeni na Kubadili ads account.
2. SETTING HACKS
Utakwenda Kujifunza Siri za Kuuza kwa Kulipia matangazo ya Kulipia, Unaambiwa Sponsored haina matokeo sio kweli Kuna siri Huna Kuhusu matangazo ya Kulipia.
3. ADS MANAGER
- Utajifunza Jinsi ya Kutumia ads manager, Kushusha Cpc, Threshold na Mengine Mengi
4. KUONDOA MAKATO 58%
- Hebu we fikilia Kama Utarusha Tangazo 100,000 Elfu 58,000 ni makato pekee ni Kichaa tu ndio anaweza Kufsnikiwa kwenye biashara ikiwa ataacha makato asilimia 58 na Urushe matangazo la Sivyo utaingia hasara.
Lipia ada 50,000 Tu Ujipatie ujuzi huu Wote.
PAY NUMBER 5443328 Sponsored ads Tanzania
MPESA NUMBER 0742089113 Rodgers mbembela
Ukilipia Tuma Ujumbe WhatsApp +255 674 695 549
Instagram Guru ( Samson Mbembela )
Anaandika Kelvin Kibenje
“Unamjua huyu jamaa?
.
Mimi namfatilia sana hapa Instagram na ninajifunza sana kutoka kwake...
.
Yaani kama unafanya biashara na unakosa mauzo Mtandaoni au kama huwa unafanya Sponsored ads na hupati wateja wala mauzo au unakatwa pesa nyingi mtandaoni matokeo madogo, basi huyu jamaa ndo mtu unapaswa kumfollow na kujifunza kwake.
.
Binafsi nimekua najifunza kwake na kutumia mbinu zake sana
.
Pia nimefanya recommendations Sana kwake na siku zote wafanyabiashara wamekua wakimsifia mnoo
.
Anaitwa Samson Mbembela maarufu Kama @sponsored_ads_tanzania pitia hapo page yake kabla hujafabya sponsored ads au hujalalamika kuwa mtandaoni hakuna pesa.
.
Siku ya jumamosi alifundisha juu ya SOCIAL MEDIA MARKETING na zaidi jinsi ya kukuza biashara mtandaoni
Nyie nyie🙌 waliofika watakwambia balaa lake Hapa siwezi kumaliza
Aisee @sponsored_ads_tanzania Asante sana kwa kuja na kutoa somo Jumamosi na kuniunga mkono kwenye Madarasa yangu. Ni Instagram guru
.
Unapata shida yoyote hapa instagram? Unamjua huyu jamaa?
Digital Skills ziko Nyingi sana, Mapema Juni 1 nitaziandika zote kwa uzuri Kabisa Kijana utachagua NICHE kisha nitakupa Course husika Buree Kabisa Ukajisomee na Ujitengemezee Kipato Mtandaoni.
#ThinkDigitalThinkOfUS
Unataka kujenga biashara itakayokupa pesa na uhuru wa kweli?
Kanuni ya NECST ni siri ya matajiri, wakati wengi wanabaki kwenye mduara wa kusota.
Hivi ndivyo inavyofanya kazi (na jinsi ya kuitumia): 🧵
⸻
N = Need (Hitaji)
Usifuate mambo ya mtandaoni tu. Tatua tatizo halisi. Watu wanalipa pesa kwa suluhisho, si kwa wazo zuri tu.
Jiulize: Je, kuna mtu yuko tayari kulipa ili tatizo hili litatuliwe sasa hivi?
⸻
E = Entry (Uingizwaji)
Kama kila mtu anaweza kuifanya, basi haina thamani. Biashara bora huwa na vizuizi: ujuzi, mtaji, teknolojia, au connection.
Biashara isiyo na kizuizi = ushindani mkubwa = faida ndogo.
⸻
C = Control (Udhibiti)
Miliki bidhaa yako. Miliki majukwaa yako. Miliki bei zako. Ukitegemea TikTok, Instagram, X au WhatsApp pekee, ukifungiwa akaunti au Mtandao unafilisika.
Jenga biashara kwenye “ardhi yako” mwenyewe si ya kukodisha.
⸻
S = Scale (Ukuaji)
Je, inaweza kukua kwa haraka bila kuhitaji wafanyakazi 1000 au wewe kuwa kazini kila saa? Biashara inayokutegemea muda wako sana haina uwezo wa kupanuka kwa kasi.
⸻
T = Time (Muda)
Utajiri wa kweli = Uhuru kutoka kwenye mtego wa kuuza muda wako. Kama kipato chako kinaisha ukipumzika, hiyo si Mchongo.
Tengeneza mifumo, bidhaa, au mali zinazokuletea pesa ukiwa umelala.
⸻
NECST si orodha ya kuangalia tu — ni ramani ya uhuru wa kifedha.
Unataka uhuru wa kweli?
Acha mbio za panya. Jenga biashara inayopita vipimo vya NECST. REPOST WATU WENGI WAJUE
Kama huna issue.. Jifunze Content Creation.. Hii skill kama hutaweza piga hela kwa content zako basi kuna watu kibao wanahitaji uwatengenezee content zao.. Kuanzia personal brands, wajasiriamali, mpaka makampuni..
Haipati siku mtu hajaniuliza kama najua mtu anaweza fanya content.
@TangaYetu imezindua rasmi miradi 4 mikubwa chini ya Awamu ya Pili, yote ikiwa na lengo la kuleta mabadiliko ya kweli kwa vijana wa Jiji la Tanga. Moja ya miradi hiyo ni “Kidijitali”, mradi ninaouongoza kupitia kampuni yangu Swahili Digital.
Mradi huu unalenga kuwapatia vijana 250 wa Tanga ujuzi wa kisasa wa kidijitali—vijana waweze kupata ajira za mtandaoni pamoja na kufanya ujasiriamali mtandaoni.
Lengo letu si tu mafunzo, bali kuwajengea mfumo wa kipato unaoendelea: tutajenga digital hub, tutatoa mentorship, ndani ya miezi 12.
TangaYetu ni mpango unaosimamiwa na @innovexdc kwa niaba ya @FondationBotnar , kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Tanga.
Ni heshima kubwa kuwa sehemu ya maono haya. Tunaamini kwamba kupitia Kidijitali, vijana wa Tanga wataweza si tu kufikia soko la ajira la sasa, bali kulibadili. Hili ni zaidi ya mradi—ni msingi wa mabadiliko ya kizazi kijacho.