@fbuyobe Wanaume kumuonea wivu wanaume mwenzio kisa anapiga pesa halali huo nao ni uchawi, vijana wenzangu tupige kazi tuache maneno wanaume wenzangu kila mtu atafute pesa kwa namna yoyote ile ya halali. na mimi nitumie code tuforce pesa ya sikukukuu hapa.