EWURA na WIZARA YA NISHATI ni Wahuni wa Karne. Walipandisha bei ya MAFUTA kwa 40% leo soko la Dunia bei imeshuka kwa 22% ila KICHEKESHO Tanzania eti Mafuta yameshuka kwa 2%! Hii ndiyo shida ya Kuwa na wahuni kama NDEJEMBI.
Ila hii nchi sidhani kama kuna sekta hata moja inafanya kazi with an even 90% competence. Kama kwenye mitandao, Voda juzi imezima ghafla. Tigo mtandao wa internet unazingua almost two weeks. Airtel router haitoi internet connection mwezi mzima before and after kulipiwa so 70k imeenda bure. And hakutakuwa na any accountability.
@Roma_Mkatoliki Nimejaribu kuyatafakari mawazo Yako nimegundua kuwa Kwa ukubwa wa fikra zako pale malawi unapaswa kupewa PhD ya mawazo ya kimkakati
NB: wanamtandaowapokazini
Kuna wimbi kubwa la
Madaktari kuacha kazi katika hospitali za umma na wengi wao wanaingia katika shughuli zingine za kiuchumi mtaani .
Hii inaweza kuwa red flag kwa serikali na nchi kwa ujumla ya kuwa na uhaba wa hawa wataalam hapo mbeleni .
REKEBISHENI MASILAHI.
"Tangu uhuru hadi sasa Serikali ya Tanzania imeajiri watu 520,000 tuu, ni chini ya 1% ya Wananchi wote wa Tanzania" John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chadema.
Mkataba wa leo kati Helium one Global Limited na Tanzania juu ya uchimbaji wa Helium gas iliyoko Southern Rukwa (Momba,Ivuna na Itumbula) ni Mkataba TATA na usio na faida kwa Taifa.
Sehemu kubwa ya mradi huu uko Mkoani Songwe Wilayani Momba, kipande kingine kipo Kwela.
Ukitaka kujifunza kuwa Dar es salaam ni mji ulio na maeneo kama kijijini, nenda,
Kitunda
Kivule
Mwanagati
Magole
Moshibaa
Kwa Diwani
Bombambili
Kinyantila
Kibeberu
Na maeneo ya kigamboni huko ndani ndani ni kama upo kijijini.
HUDUMA ZA KIJAMII MBOVU, YAANI NI KAMA XXM IMEPASUSA.
๐จ Hii issue ya Wasouth kuwapiga wageni
Baadhi ya watu wanasema Wasouth waache uvivu wafanye kazi
Hapa Bongo ni suala la muda, sasa hivi Wachina wameanza kushika sehemu muhimu muhimu nje ya Kko za kudeal na wateja moja kwa moja.
Kko wakiipunguza makali huko mbele ni noma.