Tundu Lissu amepanda kizimbani na kuieleza Mahakama Kuu ya Tanzania kwamba DCI Ramadhan Kingai amesema hayupo tayari kutoa ushahidi upande wa utetezi na amemueleza (yeye) yupo upande wa wale watu ambao watashangilia na kufurahi Mahakama ikimkuta na hatia ya kunyongwa hadi kufa.
Wakenya (Wenye NCHI) wametoa siku 7 Kizza Besigye (Uganda) na Tundu Lissu (Tanzania) waachiwe huru.
Kinyume na hapo BALOZI za "Tanzania & Uganda" zilizopo Kenya watazifunga.
Huu ndio undugu-asanteni Familia.🇰🇪
REPOST 200
@ZenjiboyZnz Wamuulizi yule Mzeee wa hotel Rwanda alivyonyofolewa Toka USA dubay alafu finally Rwanda aliishia kufia jela!
Au Dianna rwigara na familia yake! mpinzani wa PK baada ya uchaguzi alivyokiona Cha mtemakuni! Aliishia kuimba mapambio ya mfalme PK.
"Pambaneni mpate Katiba mpya," wakati mnaokota vijana mnawapa kesi za UGAIDI ati sababu walitaka kuandamana.. maelfu wameuwawa, wametekwa, wameteswa, wamepotezwa, wamedhalilishwa kingono, na zaidi tunawindwa tuuwawe kwa kutoa maoni tu! Hivi Nchimbi anatuonaje?
@JGBwana Ujana kala na wasouth ila uzee ale na watized aliowakimbia Kwa 41yrs 😂😂😂
Isingekuwa kukurupushwa na wasouth maana ake huenda asingerudi nyumbani! Nonsense