Hakuna ushindi mkubwa kama Hatua zako zikiongea zaidi kuliko Maneno yako,Mamlaka mbalimbali na utawala hujengwaaga zaidi ndani ya matendo yako ya kila siku.
Ukipata nafasi ya kusali sali sanaa ombea shughuli zako za kujipatia kipato vita ya umasikini haijawahi kuwa nyepesi...๐๐น๐ฟ
Good morning familia.