siwezi enda kwa dem tena! kuna dem tulikuwa tunadate alikuwa mapesa mbaya, huyu ni the richest nimewahi date, Dem unaeza fikiria ni mtoto wa dangote, so siku Moja akanishow nitembee kwake nikasema no but aka insist, kama sitaenda atanidrop,
A nigga with zero social skills nimeshindwa kupull hata a mid 2 sai nakaribia kumaliza mwaka bila kuona kitelezi na macho bana,mambo inaendelea kukua ngumu