#bandariyetuUchumiwetu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Iringa Mjini ndugu Said Salim Rubbeya Atoa neno juu ya Uwekezaji huu wa Bandari.
Asema
"Nakubaliana na Uwekezaji wa Bandari yetu ya Dar es salaam, kwani Uwekezaji huu una Tija kwa maendeleo ya nchi yetu
Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Iringa Mjini ikiongozwa na Mwkt wake Ndg Said Rubbeya Leo Julai 11 wamekagua Utekelezaji wa ilani ya CCM iliyotekelezwa kutokana na fedha zilizotoka serikali kuu inayoongozwa na Rais wa JMT Dkt Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia
KAZI INAENDELEA KATIBU WA CCM WILAYA YA IRINGA MJINI NDUGU BORA HASSAN NGARABA, AKIAMBATANA NA MJUMBE WA SEKRETARIETI YA WILAYA YA IRINGA MJINI NDUGU HUSSEIN KIMU WAMEENDELEA KUKUTANA NA VIONGOZI WA MASHINA,MATAWI NA KATA. Ambapo leo Juni 30 ilikuwa Zamu ya kata ya Mkimbizi.
KAZI INAENDELEA KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA IRINGA MJINI NDUGU BORA HASSAN NGARABA AMEENDELEA KUKUTANA NA VIONGOZI WA MASHINA,MATAWI NA KATA. Ambapo leo Tarehe 30/06/2023 ilikuwa Zamu ya kanda ya Kihesa Ikijumuisha kata ya Kihesa, Mtwivila na Gangilonga.
#CCMIMARA
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM na Mjumbe wa kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Iringa Mjini Ndugu Isaack Kikoti Anakutakieni Sikukuu Njema ya Eid
Meya wa Manispaa ya Iringa na Mjumbe wa kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Iringa Mjini Ndugu Ibrahim Ngwada Anakutakieni Sikukuu Njema ya Eid
Mwenyekiti wa jumuiya ya WAZAZI na Mjumbe wa kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Iringa Mjini Ndugu Shedrack Masanika Anakutakieni Sikukuu Njema ya Eid
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Wilaya ya Iringa Mjini na Mjumbe wa kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Iringa Mjini Ndugu Christina Makweyi Anakutakieni Sikukuu Njema ya Eid
KAZI INAENDELEA OFISI YA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA IRINGA MJINI INAENDELEA KUKUTANA NA VIONGOZI WA MASHINA,MATAWI NA KATA. Ambapo leo Tarehe 27/06/2023 ilikuwa Zamu ya kanda ya Kitanzini Ikijumuisha kata ya Mshindo,Kwakilosa,mivinjeni na kitanzini.
#KaziInaendelea#CCMIMARA
KAZI INAENDELEA OFISI YA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA IRINGA MJINI INAENDELEA KUKUTANA NA VIONGOZI WA MASHINA,MATAWI NA KATA. Ambapo leo Tarehe 27/06/2023 ilikuwa Zamu ya kanda ya Mkwawa Ikijumuisha kata ya Makorongoni,Ilala na Mkwawa
#KaziInaendelea#CCMIMARA
KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA IRINGA MJINI NDUGU BORA HASSAN NGARABA LEO JUNI 26 AMEKUTANA NA VIONGOZI WA MASHINA,MATAWI, NA KATA WA KANDA YA RUAHA (Ikijumuisha kata ya Ruaha, Kitwiru na Igumbilo)
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA IRINGA NDUGU DAUD YASSIN MLOWE
MWENYE DHAMANA YA WANA CCM, VIJANA,WANAWAKE,WAZEE, WATOTO NA IRINGA KWA UJUMLA ,
MTU RAHIMU NA MWENYE USIKIVU KWA WANANCHI NA WANACHAMA WAKE.
"KIONGOZI MAKINI NI YULE ANAYEPOKEA MAWAZO NA KUSIKILIZA SHAURI MBALIMBALI"