@Aruatani akili kumkichwa
ili uchague moja , uonekane value yako ndogo hautoshei , au ubwage manyanga uonekane muasi na kudhihirisha kuwa ulikua hutoshei ndomana tulikuwekea k vant ndogo isaidie ulewaji
@chapo255@usedpointTz awapi . wao waliamini lambat anaweza kumtoa kwenye reli heche kwa hoja . angalia speech za lambat hivi karibuni. lakin now waamejuta kumuita hahhaha
@zed_officially ukiwa hujui kuchekesha utaingia kama creator wa contents , hapo ndo uwehu unaanzia , yote kutafta treding .mwisho watu hawakuchukulii kama comedian ila kituko . umetoboa maskio unadrip kiujana mnaita unyamwezi , af mwana wa mtu 5yrs kimya .tena kupost hii unathibitisha undezi๐
@chapo255 sjui wakubwa wanawatumiaje wasanii, emagine leo mulla anaonekana underground unamu hold miaka kibao, kijana wa makambako , alikua chini ya barnaba kitambo sana , kumsikia kwake ni mpaka barnaba atoe album then ionekane kuna uhitaji wa verse ya michano ndo kijana anaitwa
@fredgrapher@sukununu01 harakati za vinega hazikua kwenye huu mlengo bhana, walijikita kutengeza mixtapes kushow how wananyonywa. ishu ya jamaa ,bad insect ndo aliileta hewani
@msaka_Daily kuna siku mitaa ya mbweni namfata mtu , sasa kuna kitu alisahau , nlivyoenda kugeuza gari nikarudi usawa ule ili ashuke nkaona njia nyembamba nikapaki ubavuni mwa geti , kumbe ile nyumba ni ya mzito mmoja tena wa magwanda wanalinda pale. bablai ningededia jeshini. guns on me๐
@Zephania_Ndaki dizasta kashiriki ngoma kadhaa za tamaduni before hata beef la rapcha. kuyokana na media kuto suport aina flani ya hiphop ngumu wengi kumjua ilikua kisanga. ila kama we ni mfuasi wa hiphop jina dizasta ni kubwa mtaani kuliko rapcha
@munyamambogo@askariwahovyo sasa emagine polisi waliomkamata ni wa tunduma , walioenda kutoa taarifa ni kituo cha polisi tunduma , why wasiseme kuwa tumemkamata . pili kama kukamatwa kwake ilikua in open way kwann wasitoe taarifa kwa ndugu mpaka muda upite na baada ya press ndo waseme