@iamxtona@Nyakaiba@BizouOfficial@INFLUENCERjr Unachoshindwa kuelewa ni kwamba sisi hatuhitaji kutoa fact za Messi anajua ball haitaji msaada wa aina yeyote zaidi ya muunganiko wa wenzake uwanjani. Wewe kama unaona Messi anabebwa leta HOJA za yeye kubebwa, Mimi nikisema habebwi nina FACTS kibao za uhalisia sio Hisia
@INFLUENCERjr Huu mjadala hifadhi uje muulize baada ya wiki, Kwa sasa maumivu wanayopitia toka juzi ni Makubwa hawataweza kujibu Kwa FACTS itatumika mihemko na jazba tu
@iamxtona@Nyakaiba@BizouOfficial@INFLUENCERjr Sisi tunaona Messi habebwi na lolote, nyie mnaona anabebwa leteni hizo facts
Kwamba jana Ile Assist yake Rais wa FIFA alipiga simu aipige ama like goli lake Misri waliambiwa hawatakiwi kulizuia ?