@privaldinho@SheriaNgowi Hapo jezi I azinduliwa au wana UTO wamepiga picha na jezi yao??? Uzinduzi na huo UTOPOLISIM hapo n sawa??? Mpaka mkazwe fyuzi za ubongo ndo mnaelewaga ๐
@Khalidchukuchuk Upo kwenye sector hii ya michezo ila na wewe una cheza kama mashabiki, hiyo n kanuni ya msimu uliopita. Msimu huu wametoa kanuni yake???