Kutoka Washington, DC, Marekani: Tupo na maGen—Z, mtoto wa Tundu Lissu, Tino, na mtoto wa dada @tausilikokola tukipigania Uhuru wa baba yake Tino na Watanzania kwa ujumla. Nipo na begi langu la maamuzi magumu. #HakiHuinuaTaifa
Kusikiliza si tendo la masikio, ni unyenyekevu wa nafsi unaokubali kuwa hujui kila kitu, na kuelewa si kukubaliana, bali ni kuvuka mipaka ya nafsi yako na kuingia katika ulimwengu wa mwenzako bila hukumu.
Kwa maana hiyo, pale ambapo kila mmoja anaposhikilia ushindi wa hoja badala ya ukweli wa pamoja, upendo hupoteza maana yake na kubaki kivuli cha ego.