My Round of 32 Predictions:
๐ฟ๐ฆ South Africa 0โ1๐จ๐ฆ Canada โ
๐ง๐ท Brazil 2โ1 ๐ฏ๐ต Japan
๐ฉ๐ช Germany 2โ0 ๐ต๐พ Paraguay
๐ณ๏ฟฝ๏ฟฝ Netherlands* 2โ2 ๐ฒ๐ฆ Morocco
๐จ๐ฎ Ivory Coast 1โ3 ๐ณ๐ด Norway
๐ซ๐ท France 3โ1 ๐ธ๐ช Sweden
๐ฒ๐ฝ Mexico 2โ0 ๐ช๐จ Ecuador
๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England 2โ0 ๐จ๐ฉ DR Congo
๐ง๐ช Belgium 1โ2 ๐ธ๐ณ Senegal
๐บ๐ธ USA 0โ2 ๐ง๐ฆ Bosnia
๐ช๐ธ Spain 2โ0 ๐ฆ๐น Austria
๐ต๐น Portugal 1โ1 ๐ญ๐ท Croatia*
๐จ๐ญ Switzerland 1โ1 ๐ฉ๐ฟ Algeria*
๐ฆ๐บ Australia 1โ2 ๐ช๐ฌ Egypt
๐ฆ๐ท Argentina 1โ0 ๐จ๐ป Cape Verde
๐จ๐ด Colombia 2โ1 ๐ฌ๐ญ Ghana
* Team who advance to the next ROUND
What are your predictions?
Kati ya kundi linalokuja kwa kasi na halilizungumziwi ni hili la wanawake wanaoitana kwenye vikao na kuanza kuwafundisha wanawake wengine ujinga "usimuonyeshe mumeo mali zako coz wanaume ni matapeli" wewe mmeo unamuona kabisa anaipambania familia yake unabeba ushauri huo๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๐พ
Kuna huyu Mama anaitwa mama Manyema, hapo Karikoo anauza chakula mbabe kinoma, unatoa hela kununua chakula lakini unafokewa kinoma na kesho unaenda tena๐
Tukiongea ukweli ni kwamba 600k ni pesa nyingi sana kwa mtu mmoja, na ni hela ndogo sana kwa mtu mwingine. Hatufanani kwa kila angle ya maisha wazee, majukumu yanatofautiana.
Unataka kudate stable and well established woman kodi yake ya nyumba kwa mwezi ni 800k na ofisi kodi yake ni 500k, dharula zake ndogo ndogo zinaanzia 300k utaweza?