Galaxy Fam π
What's the biggest reason you use Samsung instead of iPhone?
Mine: One UI's one-handed usability.
Everything feels easier to reach and use.
What's yours? π
Kuna hii feature kwenye Samung Galaxy π
Iphone hawana hii!!
Hapa unaplay music kwenye Sound bar yako huku unaendelea kuangalia video social media nyingine na sauti inatoka kwenye simu
Wengi hawafahamu kuwa Watu wa Iran sio Waarabu bali ni Waajemi. Hata lugha inayozungumzwa Iran sio Kiarabu bali ni Kifarsi au Kiajemi. Zaidi ni kwamba waarabu waliopo Iran ni wachache sana hawafiki hata 2% ya watu wa Iran. Watu wa Iran wana historia pana tena ni wajuzi wa Sayansi