@PolycarpMDM Wameona balance sheet haija balance kabisa 🤣
Value ya silaha walizouza kwenye haya magenge versus kiasi cha madawa yaliyokuwa imported marekani
Kwamujibu wa katiba yetu ya @ChademaTZ2 kwasasa @HecheJohn ndio kiongozi mkuu wa chama, kosa kubwa analofanya hajui kwamba kesi ya kisiasa huwa inaisha kisiasa,alikaa ndani week moja akaanza kulia anaumwa. Mwenyekiti @TunduALissu amesema jana jela sio pazuri. Heche ni dhaifu sana
Msichotaka kujua na lazima mjue ni kwamba MARIDHIANO kati ya VYAMA VYA SIASA sio shida ya mwananchi! Mnatakiwa mfanye MARIDHIANO na wananchi! Tunataka nini?! Mmezoea kukaa wenyewe kwa wenyewe mkidhani kila mwananchi anawakilishwa na chama cha siasa! Haya endeleeni muone! #MaKaNTa