*Stori fupi: Vita vya Kwanza vya Dunia*
Mwaka 1914, risasi moja Sarajevo iliwasha moto mkubwa. Franz Ferdinand, mrithi wa kiti cha Austria-Hungary, aliuawa na mwanaharakati Mserbia. Kwa sababu nchi kubwa za Ulaya zilikuwa na marafiki wa siri, kifo kimoja kikazaa vita vya dunia.
Novemba 11, 1918, saa 11 asubuhi, bunduki zikanyamaza. Zaidi ya watu milioni 16 walikufa. Mkataba wa Versailles 1919 ukaimaliza rasmi, lakini masharti yake makali kwa Ujerumani yakaandaa njia ya Vita vya Pili vya Dunia miaka 20 baadaye.
Kwa miaka 4, meli zilifungia bahari, ndege zikaruka kwa mara ya kwanza vitani, na mizinga ikaingia uwanjani. Urusi ikajiondoa baada ya Mapinduzi ya 1917. Marekani ikaingia upande wa Washirika.
Askari mamilioni walikwama kwenye mitaro ya matope Ufaransa na Ubelgiji. Mvua, panya, gesi ya sumu, na bunduki za mashine zikageuza vita kuwa mauaji ya kusubiri. Watu waliita โvita vya kumaliza vita vyoteโ.
Ujerumani, Austria-Hungary na Dola la Ottoman wakaunda โPande za Katiโ. Uingereza, Ufaransa, Urusi, na baadaye Marekani wakaunda โPande za Washirikaโ.
The last Center-Backs signed by Liverpool FC:
โฎ Jeremy Jacquet (20 ๐ซ๐ท), ยฃ60M
โฎ Giovanni Leoni (19 ๐ฎ๐น), ยฃ26M
โฎ Ifeanyi Ndukwe (17 ๐ฆ๐น), ยฃ2.6M
โฎ Mor Talla Ndiaye (18 ๐ธ๐ณ), ยฃ1M
The futures looks so ๐ ๐๐**** ๐๐๐๐๐๐ ๐ดโจ
The fight against poverty is a personal journey. You must take it personal. Don't wait for any friends or family. If you don't take it personal, you may live for long like a prisoner.
~ ALFACHEMISTRY