Mitikasi kibao mpaka mida ya Lunch imenipita lakini sio kesi @thee_garden si wanafanya delivery popote pale chap kwa haraka ni 0711454545 niwaambie pale pale kwa siku zote menu yangu yakushiba kama nabeba zege ile ile pilipili nyingiii kama nimetoka bombay ππ
#OfficialSponsors
Njoo @thee_garden ukutane na totoz kaliii sio wale Asha Ngedere na Mwajuma ndalandefu. Unakula , unapata mziki mtamu na kipupwe cha bahari bila kusahau bebi kaliiiiiiiiiiiiii kama hzi. Kama nawaona wazee wa matipo choisi wanavyohaha lakini malijendi tunasema (E)all The above ππ
Baada ya mamisongo ya wiki nzima sehemu pekee ya kujiliwaza na kusahau mashida yote ni @thee_garden ambapo leo Friday ni #TheeKaraokeNight ambaoo utakula, utakunywa huku ukisindikizwa na sauti sauti mororo huku ukishushia na kipupwe cha mbezi beach.
#OfficialSponsors