#BreakingNews Heche na Lema ndio viongozi wa genge ra kumshambulia na kumtukana Mbowe. Viongozi wa CDM wakiongozwa na @HildaNewton21 wamepewa majukumu kumtukana FAM na wanalipwa. Maria na @lifeofmshaba (same tribe na Heche) wameshauri hayo ili Heche aonekane na kumwua FAM kisiasa
Chuki ya CHADEMA dhidi ya @freemanmbowetz ni kubwa kuliko tunavyo dhani. Kwenye mitandao rasmi ya kijamii ya @ChademaTZ2, hawajaposti hata neno moja la kile alichozungumza FAM kuhusu Mtei na maandalizi ya msiba. Naambiwa ni maelekezo ya Nairobi to @HecheJohn na @godbless_lema

@MariaSTsehai Bila ku panic, Hebu tuambie utazuiaje uchaguzi ukiwa Nairobi na @godbless_lema atazuiaje akiwa Canada? Au umefanikiwa kuwaingiza Chadema mkenge, mission yako imefanikiwa tayari?
Wanaharakati wa Kenya wapo front kupigania haki na uwajibikaji kwenye maandamano, akina Maria wapo mafichoni, wana andamana kwenye keyboard ... Wanaharakati kama hao wana mchamgo mdogo sana katika ukombozi wa ukweli wa Taifa.
@Lissu_2025 Hizi ni Illusion. Atakuaje Rais wakati mmesusia uchaguzi. TL atakuwaje Rais na Chadema haipo kwenye orodha ya vyama vitakavyo shiriki uchaguzi? Atashiriki uchaguzi vipi wakati hata Chama chake hakina ilani, hakijampitisha? NoReformNoElection imefikia mwisho? Kazi kweli kweli

#Updates
Mpaka sasa @Eng_Matarra amechangiwa TZS. 742,000, tumefikia nusu ya lengo la kupata TZS. 1.5M ili kuwezesha MATARRA afanyiwe matibabu ya Upasuaji kesho.!!!
WASIOJULIKANA wamemvunja taya mara 2, Anapitia maumivu makali sana..!!
Halopesa: 0627422184
Jina: SAMWELI MATARA.
@clementmanang@HecheJohn Picha za Mkutano wa Hai uliziona? CHADEMA waliposti popote? Unafikiri ni kwanini hawakuposti kama kweli walipata watu? Au ni mwendelezo wa hujuma kwa Mbowe
@godbless_lema Wewe Lema ni tapeli, muongo na mzushi. Nani asiejua kwamba kila baada ya miezi mitatu unakwenda Canadar? Ulikuwa unaenda Nairobe ama you were on your way to Canadar?