🚨 Samia the main suspect picks the judges AGAIN.🚨
Reality check:
Petrus Damaseb 🇳🇦
2003 photo in Swapo colours.
2026: Accepts seat on Samia’s whitewash inquiry into the Tanzania massacre.
A Deputy Chief Justice lending Namibia’s judiciary to a process run by the accused.
That’s not independence.🚨
Unatukosea watanganyika na hatutakaa tukusahau kwa mauwaji . 👇👇 Hiyo picha hapo ni baadhi ya watu ambao walikuwa wanafyatua risasi za moto kwenye nyumba za watu October 29. Tulitaka kujua ni akina nani ? Na Sio waliotoa pesa kuandamana au kulipwa
Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini.
Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?
Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!
Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.
Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?
Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?
Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.
Huyo ni SULEIMAN MOMBO kazini. I think nilishawaeleza Watanzania kuwa Samia ametoa order kwa Usalama wa taifa kumuua Heche iwapo hatofanikiwa kumuondoa kwenye nafasi ya uongozi Chadema kwa kumchafua.
Kama ulichukulia simple lile onyo naomba kila mtu achukulie serious. Samia yuko tayari kuua yoyote yule ambae anazuia maridhiano ya kihuni anayoyafosi na Chadema. Na ndo maana bado kashupaza shingo juu ya kumtoa Lissu ingawa dunia nzima inapiga kelele amwachie. Anajua Lissu ndo kabisa hatokubali huo upumbavu.
Naposema maridhiano ya kihuni naomba muelewe kuwa Samia hataki any international mediator, yani baada ya mauaji aliyoyafanya anataka akae na Chadema kienyeji ili Chadema wamuhalishe kama rais halali wa Tanzania and that WILL NEVER HAPPEN!!!!!!!
@SuluhuSamia MARIDHIANO YA KIHUNI NA WAUWAJI WA OCTOBER 29 WATANZANIA TUMEYAKATAA. UTAUWA NA KUBAMBIKIA WANANCHI KESI ZA UGAIDI ILA MARIDHIANO YA KISHENZI UNAYOYAFOSI HAYATOFANYIKA NG’OOO!!!!!!!
@smkami tutamkumbuka samia; kwa kuteka Mdude,Soka, na wengine kwa mamia,kumuweka Lissu ndani, kuiba kura na kuwaweka madarakani, mbaya zaidi kuliko yote kupiga risasi za vichwa maelfu na maelfu ya raia ili awe rais kwa kujiapisha madarakani!,kweli tuta mkumbuka mama mkwe wako☹️🤔☹️
Hatuwezi kuwasaliti wapiganaji na mashujaa wote waliouwawa wakipigania uadilifu wa bendera yetu kwa kauli tupu za Imanweli Nchimbi.
We ain’t sellouts.
We need truth, justice and accountability!
Madai yetu yako palepale!
Na mauaji ya Oktoba 29 remains at large in our hearts 💔
Kwako @nchimbie , kama haya unayoyasema ni sehemu ya project ya “kukinusuru chama” naomba nikwambie kwamba baada ya October 29 hakuna chochote kitakachoinusuru CCM na hasira za Watanzania.
Watanzania tunakuomba uangalie jinsi ya KUINUSURU TANZANIA, na sio kuinusuru CCM.
CCM imeshafika mwisho….. Na mioyoni mwetu Watanzania tumeshafunga ukurasa wa CCM.
‼️HABARI MBAYA‼️
Vijana hawa wametekwa kwa nyakati tofauti na maofisa wa Polisi wa kituo cha Chang’ombe Temeke - Dar es salaam.
Polisi waliomteka Deudedith Soka na wenzake wamehusika na tukio la kuwateka Vijana hawa pichani, Mkoa wa kichama Temeke, Kata ya Chamanzi.
Mpaka sasa ni zaidi wiki moja tangu watekwe na hakuna mtu yeyote ambae anajua mahali walipo.
Zack Shija alitekwa nyumbani kwake akiwa na mke wake, POLISI waliovalia Maski usoni, walivamia nyumbani kwao kisha wakavunja mlango na kumchukua Zacky wakati wanaondoka nae walimwambia mke wa Zacky Shija kama akimwambia mtu yoyote kwamba mume wake ametekwa watamuua.
Majina ya Vijana hawa ni
1 Peter Seleka
2 Kenda
3 Zacky Shija
Do you believe in hope ? 𝗔 𝗻𝗲𝘄 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗶𝘀 𝗰𝗼𝗺𝗶𝗻𝗴 🇹🇿✊🏾A new Tanzania is coming ! Impact doesn’t come easy. Every step forward requires patience, sacrifice, consistency, and dedication.
‼️ALERT‼️
Huyu mtu mwenye hii namba anapigia simu Viongozi wa CHADEMA Mikoa ya kusini, ili kuwashawishi wamchafue Mhe. John Heche akiwaahidi kwamba wakikubali atawalipa shilingi milioni moja.
@HildaNewton21@MariaSTsehai Huyu mzee anajulikana kama TAPELI kwenye kazi zake za uganga wa kienyeji,
huwa anatuma zile SMS za:
- Dawa ya kuongeza nguvu za kiume.
-kumdhibiti mume.
-dawa za mapenzi,.
-Jiunge FreeMason nk nk.
‼️🚨WANACHAMA FEKI WA CHADEMA WAPO KAMBINI KWA HISANI YA AKINA ABDUL‼️
Mdau katutonya kuwa hili gari la jeshi linabeba vijana kuwaleta katika shule hiyo (jina tumehifadhi) na kupewa mafunzo ili wajitokeze kutoa kauli kama vile ni wanaCHADEMA na waonekane ni vijana wa CHADEMA. Wanataka waandae maandamano waandamane kudai @HecheJohn avuliwe uongozi 🙄
Hawa jamaa wanafeli mno - sasa mnatarajia nini na mtu anayesimamia shughuli ni Sumai na Abdul? Wapumbavu kabisa!
Eniwei waanze kuzoea uhalisia 👉🏽 #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
‼️TUMENASA MAZUNGUMZO YA MADALALI WA PROJECT YA KUMSHAMBULIA MHE. HECHE‼️
Huyu anaitwa Shaban Mikongoro ni mpambe wa Susan Kiwanga na ni Kiongozi wa CHAUMA Mkoa wa Morogoro.
Hii Sauti inayosikika hapa ni majibizano kati ya Mikongoro na Kiongozi wa BAWACHA Kanda ya Kati ambapo Mikongoro anasikika akimshawishi Kiongozi huyo akubali kufanya press ya kumtukana Mhe. @HecheJohn kwa ahadi ya ujira wa milioni moja.😂😂😂
Nduli Idd Amin Mama na mwanae Abdul wanachezea kodi zetu kwa kuliipa hawa vibaraka wao ili wamshambulie Mhe. Heche kwasababu hataki kuimba wimbo wa Maridhiano.
Sikiliza mazungumzo haya kwa makini mwanzo hadi mwisho ili uone hawa vibaraka wa CCM walivo na akili ndogo.🚮