Wanaharakati, haswa mnaoposti Instagram na Tiktok tunawaomba mzingatie comments kwenye posti zenu.
Posti zenu zinakosa ushawishi sababu mnaruhusu comments za maboti wa wauwaji.
Wao wauwaji especially muuaji mkuu ana control comments kwa page yake sababu anaelewa uzito wa comments. Haya yule msemaji ana control comments, hata page ya CCM wana control comments.
Mnaharibu harakati zenu wenyewe kwa kuruhusu comments za kuvunja watu moyo. Mtu akiona posti cha kwanza ni kufungua comments ili kujua mawazo ya wengine. Ni kazi yako mwanaharakati kuhakikisha comments zoote kwenye posti zako zinatoa moyo wa maandamano.
Wananchi kutoka kuandamana is a psychological issue, msiruhusi comments zinachozesha na psychology ya binadamu.
Kama huwezi ku control comments ni bora hata usiposti harakati maana haina maana unapoteza muda. You have to control the comments.
watched South African police escort protesters without executing them for 2 days. Even when marchers started looting or vandalizing property, they responded with non-lethal force.
Can police in Kenya, Nigeria, Uganda, and Tanzania learn from their counterparts here?
Mmeuwa watu zaidi ya elfu 10 alafu leo mnajiita walinzi wa amani? Amani ipi?
Kwanini mnadhani kila mtu yuko kwenye league yenu ya ujinga?
Regime yenu ya WAUWAJI itaanguka.
You can’t kill us and lead us.
Killer Samia Suluhu Must Go Now!!
(TAHADHARI KUHUSU VIDEO)
Siku Ambayo Watu watu wa South Africa walisema ni mwisho wa Wahamiaji kuishi South Africa ni leo 30 June 2026 wakaita (Deathline) haijaeleweka wanataka kufanya nini, Tusubiri tuone.
Hii ni Video mojawapo wa Watanzania wanaoishi eneo la "Matentini" wakiwatukana moja ya Raia wa Tanzania ambao ni Wapigania haki kwa Watanzania waishio SA wanaoitwa Juma Alone na Mohamed Msangi, Matusi haya ni sababu walishauriwa kurudi nyumbani kabla ya Deathline.
Huwa nashangaa @salim_alkhasas kwanini huwa Anawasema WaEthiopia Kukimbia kwao kama kuna mazingira mazuri.
Ukikutana na Raia wa Ethiopia Nchi yeyote Basi ni Mfanyakazi au Mfanyabiashara, Ila Ndugu zetu wa Tanzania kule south Wana hali mbaya sana, Hawana ushindani sokoni.
Anti-migrant protesters force foreigners out of their houses and assault kids in Germiston, South Africa 🇿🇦.
They were handing them over to the Police.
Legal migrants were also assaulted.
‼️DEREVA WA MHE. HECHE AKUTWA AMEKUFA DAMU DAMU ZIMETAPAKAA SAKAFUNI.‼️
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, Mheshimiwa John Heche
Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma.
Mwili umechukuliwa na Polisi kuupeleka hospitali ya mkoa wa Kigoma kwa ajili ya taratibu nyingine za uchunguzi.
Chama kinatoa pole kwa familia ya marehemu, wanachama, ndugu jamaa na marafiki kwenye msiba huu mzito.
Taarifa zaidi tutaendelea kuzitoa.
Bwana alitoa. Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe. Amina
Uoga umewaingia hawa wahuni. Hadi mashuleni wamepeleka siasa. Wanaogopa maandamano ha 7/7 hadi kuchelewa kufungua mashule.
Samuya Aondoke tu. Hana maana kabisa huyu mama, anaivuruga Tanganyika