‼️🚨 TUNACHOELEWA NI #FreeTunduLissu ‼️
Naona taarifa ni nyingi ila ni dhahiri wamechanganyikiwa
👉🏽 Kuendelea kumshikilia Lissu ni kujipalia mkaa wa moto! Hiyo Julai 3 ni mbali as it is nyie mnafikiri 2030 mtafika kwa mwendo huu? Hamtaweza kutukatisha tamaa! Mwachieni Tundu Lissu!
👉🏽 Kufungia Chadema tena - dalili tunaziona ila mnajisumbua! Mlivyowafungia mwaka mzima mlipata nini?
Shida serikali inaendeshwa na Abdul ambaye hana cheo wala akili 🙄
Mnachokitafuta mtakipata
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Oktoba 29, 2025 💔
Imagine watu walikuwa wanapeleka maiti Hospital na wao wakauwawa kwa risasi.😭
Kamwe hatutasahau ukatili ambao Nduli Idd Amin Mama na washirika wake walitufanyia Watanganyika siku ya Oktoba 29.
MAREKANI YAFUTA VIZA KATIKA MSAKO DHIDI YA “UTALII WA KUJIFUNGUA”
Serikali ya Marekani imetangaza hatua kali dhidi ya kile kinachoitwa 'utalii wa kujifungua', ambapo baadhi ya raia wa kigeni husafiri kwenda nchini humo kwa lengo la kujifungua ili watoto wao wapate uraia wa Marekani.
Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, uchunguzi uliofanyika umebaini zaidi ya visa 100 vinavyoshukiwa katika eneo la Afrika Magharibi na zaidi ya visa 400 barani Ulaya tangu mwaka 2024.
Maafisa wa Marekani wanasema baadhi ya waombaji wa viza walitumia nyaraka zisizo sahihi pamoja na huduma za madalali wa viza. Aidha, kampuni kadhaa zinatuhumiwa kuwapa waombaji maelekezo ya namna ya kujibu maswali katika usaili wa viza, pamoja na kuratibu safari, malazi na mipango ya kujifungua nchini Marekani.
Wizara hiyo imeeleza kuwa viza zote zilizobainika kuhusishwa na mpango huo zimefutwa, huku baadhi ya wahusika wakizuiwa kabisa kuingia nchini Marekani. Mamlaka za Marekani pia zinaendelea kushirikiana na serikali za nchi mbalimbali ili kubaini na kuvunja mitandao mingine inayojihusisha na shughuli kama hizo.
Maafisa wa Marekani wamekumbusha kuwa viza za utalii hazipaswi kutumika kwa lengo kuu la kupata uraia wa Marekani kwa mtoto kupitia kuzaliwa nchini humo. Wameonya kuwa hatua zaidi za kisheria zitachukuliwa dhidi ya yeyote atakayebainika kutumia vibaya mfumo wa uhamiaji wa nchi hiyo.
ALERT: Maisha ya Lissu yako hatarini. Samia na Mwanae Abdul wanafanya mchakato wa kumuua Lissu kwa sumu. Lengo lao ni kumlisha sumu, na kisha kumuachia huru. Baada ya muda ataenda nje kutibiwa na atapatikana na ugonjwa usiotibika. Hii ni taarifa toka ndani ya mfumo
@YoloTony1@ezra_mollel@retrofreezle@Smith_JeffreyT@MariaSTsehai Ngoja tukufundishe usije ukarudia kuandika vitu hovyo angalau ujifunze kwenda mbele. Hamuwezi kuwa mashetani muue tu watu kiholela halafu utafute kivuli cha sovereignty kiwalinde. Muwe mnasoma mnapo sign mikataba hiyo sovereign mnaiuza. Uhuru huo unautoa.
Walimuua Polepole wakidhan Wengine hatupo subiri muone na tusidanganyane kwamba walotekwa wako hai narejea hakuna aliye hai! Kama walioponea chupu chupu wako vile vipi hao ambao wameweza kuwafikisha kwenye machinjio
Hizi za free Polepole sijui SOKA ni saikolojia kutupoza Tupumbazike kwamba wako hai
WAMEUWAWA
‼️MPANGO WA JESHI LA POLISI DHIDI YA CHADEMA‼️
Kama mtakumbuka siku kadhaa zilizopita ilisambaa taarifa kuhusu Jeshi la Polisi kuvamia nyumbani kwa Yoramu Mbyela (Huyu kwenye picha) ambae ni mfanyabiashara anaeuza vifaa vya CHADEMA ikiwemo matisheti, bendera, madera, kombati, n.k
Polisi wakiwa na gari aina ya FUSO walivamia nyumbani kwake, wakamlazimisha mke wa Mbyela afungue duka, kisha wakabeba na kuondoka na mzigo wote wa vifaa vya CHADEMA ambao waliukuta dukani kwake.
Mke wa Mbyela pamoja na Wakili wao wamefuatilia huo mzigo wao, Polisi wakarudisha baadhi ya vitu lakin mzigo mkubwa wakakataa kurudisha mpaka leo bado wamebaki nao.
Sasa nimejulishwa kwamba Jeshi la Polisi wamebaki na huo mzigo kwasababu wanampango wa kuutumia kufanikisha mpango wao dhidi ya CHADEMA hii ni kutokana na hofu waliyonayo kuhusu Maandamano ya 7/7 yani Julai 7, 2026.
Wamepanga kuwavalisha nguo za CHADEMA watu wao ambao ni Green guard, UVCCM na baadhi ya migambo kisha watawapeleka huko porini ambapo badae Polisi watajifanya kwamba wamevamia eneo hilo baada ya kupata taarifa kutoka kwa Wananchi kwamba waliona kuna kundi la watu ambao hawajui ni akina nan.
Baada ya Polisi kuvamia eneo hilo watautangazia umma kwamba Vijana wa CHADEMA wamekamatwa huko porini wakiwa wanapewa mafunzo ya kijeshi kwa ajili ya Maandamano ya Julai 7 ili Msajili apate sababu ya kuingilia kati aseme kwamba CHADEMA imevuja sheria ya vyama vya Siasa maana Sheria ya Vyama vya Siasa ilipiga marufuku vikundi vya ulinzi na mafunzo ya kijeshi mwisho wa siku CHAMA kinaweza kufutwa.
Lakin pia Jeshi la Polisi litakuwa linawavalisha UVCCM hizo nguo za CHADEMA kisha wanawatuma kwenye mikutano ya hadhara ya CHADEMA kufanya fujo ili ionekane CHADEMA wanagombana wao kwa wao.
Sasa ni muhimu sana Wanachama wenzangu mnapoenda kwenda Mikutano, hakikisha unamtambua mtu ambae umekaaa nae jirani ukiona kuna mtu/watu huwaelewi toa taarifa kwa Viongozi wa CHAMA, hawa wahuni wakivamia mikutano yetu inatakiwa muwape HAKI YAO YA KIKATIBA.