@RealHauleGluck Unanichanganya we ndo uliandaka kwamba hakuna pesa za misaada tena kutoka kwa wazungu, Leo hii unaandika kwamba mapesa yanasainiwa ya mabeberu. So which is which!
@fatma_karume Kama mtu ashashinda na kutangazwa na tume husika kwa nn mcheleweshe kumkabidhi ofic, ayo mambo ya siku 74, 7 n.k ni utaratibu tu nchi husika imejiwekea so sio lzm nchi zote duniani zifanane. Tusikaze ubongo jamani