Disciplining yourself to do what you know is right and important, although difficult, is the highroad to pride, self-esteem, and personal satisfaction.
Haya born 1983 kwa mujibu wa Bunge na shule ya Primary kaanza 1988 🧐akiwa na miaka 4 - mmeniuliza hii imekaaje! Alikuwa genius ama?
Na hapo mnaona experience yake ya kazi ni kujishikiza kidogo hapa na pale na kabla ya kuingia siasa alikuwa GSM!
Na Uingereza amesoma Chuo kikuu cha Lincoln
Mama yake CV yake naisubiri kutoka wazanzibari 😬
Nasema #TutaelewanaTu mwaka huu watanganyika wa mfumo ninyi ni makenge kabisa 🚮 sina cha kuongeza! Mnaruhusu haya madudu!? CV gani hii ya kusema eti VP? Aibu tupu!
#TutaelewanaTu
Acheni kuumizwa na matendo ya Spika Job Ndugai , Mungu anatarajia kutenda muujiza hivi karibuni kwake ,asiwachoshe kabisa ,kwani imeandikwa...Mithali 16:5 MUNGU huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo. Uwe na hakika kwa hili: Hawataepuka kuadhibiwa.
@bajabiri @TherealKiswaga Ndiyo alitoa kauli kuwa Lissu akamatwe kwa kufanya UASI, It seems ni mpango wa muda mrefu ila yeye binafsi alizidiwa muwasho akaamua kuvujisha taarifa,
@uncle_kaso@JonMrema unataka kuonekana wenye vipara hawana akili tena? Kama mnaona malengo yenu hatatatimia kwa hali ilivyo sasa, ruksa kutoka na kuanzisha chama chako. Very simple ili mshiriki uchaguzi mpate ruzuku.
Kakaa kwa karne hii, leo hii tupo karibu miaka 65 toka uhuru, unazungumzia "hatua japo kidogo" nini kipaumbele chetu kama nchi?? Hizo sera zinatekelezeka? Tufanye hii mada kama mjadala wa kitaifa, nini kinachotukwamisha?
Hii nchii ina vitu vingi ambavyo vingetungiwa sera zinazotekelezeka wala tusingetetereka hata kidogo. Yamebaki matamko tu bila utekelezaji miaka na miaka. Tunakosa vipaumbele kama nchii iliyojaliwa rasilimali za kutosha.
@HKigwangalla Brother unajua unajivua nguo hadharani, unachokiongelea kinatekelezeka? Kwa aina ya wawakilishi wanafki kama nyie? Kama mliogopa kumweleza mwenyekiti wenu ukweli mkaamua kuvunja kanuni za chama chenu leo hicho unachokisema hapa kitasimamiwa na nani??
@BSMwandenuka@godbless_lema@freemanmbowetz Hiz habari za kaskazini mara home boy mara amemdhalilisha zinatoka wapi? Huu ushamba sijawahi fikiri kama utatokea. Shame on you
@Eng_Matarra Anajitafutia sifa za kijinga na visharubu kama vya panya. Yeye anafanya personal attacks zaidi kuliko kuongelea facts. Anajiona anajua sana, shenzi sana yule
@YerickoNyerereT Brother acha shobo. Kila kitu unajifanya unajua, halafu hizo shutuma na tuhuma zako za kubuni kila kukicha bila ushahidi zitakupeleka kubaya,, angalia sana