@Simon_Machibya Sio kwamba wasanii wenzake hawampendi bali Harmonize anachukulia poa sana issue za brand za wenzake, mbona issue ipo simple aliambiwa awasiliane na meneja wa msanii husika lakin kama hakufanya hivyo kilichotokea ni sahihi.
@RicardoMomo1 Kwahiyo mmekubali propanda ya Press ya jana iharibu issue nzima ya GSM kujitoa udhamin mwenza pasipo kuvilipa vilabu vilivyovaa logo yao kwa miezi 3?
@Bm3gh punguza kuwakera YANGA, wakere kwa kufunga magoli tu lakini sio kwa vituko nao wakiamua kukukera utajuta, kuna kamati za Sumbawanga, Zanzibar, Bagamoyo na Tanga.