@anuskills3 Acha kujichekesha Admin amepost magoal mpaka ya Liverpool sio kwamba akipost Man utd ni shabiki yenu kama ingekuwa hivo basi Arsenal ndio wanaongoza kupostiwa toka wachukue ubingwa
@anuskills3@TriciaAbou Alafu huo ushawishi sasa hivi haupo tena kwanza hizo timu zote sasa hivi hazina msuli wa pesa kushindana na timu za EPL kwenye mikataba ya wachezaji ndio maana wanavizia freeagent unadhani ingekuwa hivo RM hawana ST wangemwacha Halaand MNC?