Baada ya kumtaja @omarilyas , Haji Omar Kheir na Fadhili
TCRA wametuma maombi ya kusheria kwamba Omar ni afisa wa serikali kitengo, kumta ni kuvunja sheria za Tanzania
X wamesema sio suala dogo nijikinge, Samia anataka mficha Omar Ilyas ana siri nyingi za mambo yao, ENGINE YAKE
Hii ndio Team ya mauaji na teuzi ya Samia
1. TEAM ONE
@omarilyas na Haji Omar Kheir - Ikulu, teuzi, mauaji na fitina kwa wanasiasa/dini
2. TEAM TWO
Fadhili na Haji Omar Kheir -TISS na IKULU kuua na utekaji
3. TEAM THREE
Mafwele na Awadhi -Polisi kuteka, kuua, kesi za mchongo
Leo #MariaSpaces tunaendelea kujadili Aluta Contihua #FreeTunduLissu
Hatutakubali kutolewa kwenye reli! Tunaelewa thamani ya Tundu Lissu katika harakati, tunafahamu njama zao ovu - mapambano lazima yaendelee!
Tusipochukua hatua nchi itakwenda
Leo saa 2 uck
Imagine how much you have done in 21 days! But Twaha Mwaipaya does not have the freedom to do anything! He was abducted 3 weeks ago
As a victim of persecution by the oppressive Samia Suluhu regime, he fled Tanzania to seek safety in Kenya
Transnational repression is a CRIME
#FreeTwahaMwaipaya
#TANZANIA: WALIOWAKAMATA WAWAFIKISHE MAHAKAMANI, KAMA USHAHIDI HAUTOSHELEZI SIO AIBU KUWAACHIA - MADUHU
"Ninamshauri IGP Wambura hadharani, atoe amri kwa mkuu wa upelelezi nchini DCI, hawa watu wafikishwe Mahakamani kwa mujibu wa tuhuma zinazowakabili na kama ushahidi hautoshelezi sio aibu kuwaachilia, IGP Wambura aagize hawa watu waachiliwe na kama watapata ushahidi baadaye watawapeleka Mahakamani" - Wakili William Maduhu
‼️🚨#Tanzania‼️
Samia Suluhu wants to use the Registrar of Political Parties to remove Tundu Lissu as chair of Chadema or deregister the party
As I warned Samia Suluhu will only ESCALATE the crisis because she has zero emotional intelligence and political acumen to resolve this!
Without international intervention, Tanzania will be gone!
I will keep warning everyone!
#FreeTunduLissu
Naona mmefanya kwa siri 😁
Hiki kikao batili kwishbey! Haina impact! Mlichodhamiria muioneshe kimataifa imefeli! Mnajitekenya na kucheka wenyewe
#SamiaMustGo
It has been three weeks - 21 days and we cannot ignore the URGENCY to find Twaha Mwaipaya safe and sound! He was abducted on Kenyan soil and his family and friends live with the pain and fear every day!
We need URGENT ACTION
#FreeTwahaMwaipaya
Japo duniani kote maamuzi ya mahakama hujadiliwa na wadau na jamii nzima
Kama hairuhusiwi kujadiliwa basi isingesomwa open court!
Uko wapi uhuru wa kujieleza na kujadili maamuzi ya taasisi za umma.
Tusipojadili sisi watajadili hata bodaboda!
Pole kwa Odemba kwa kupata hasara!
Ila niwaambie wale washirika wa Samia na Abdul - ACHENI kushirikiana
Hawa watu wana laana kubwa!
Twaha alikuwa ana madhara gani kwa kiongozi halali?
Sisi hatutachoka kumpazia sauti ndugu zetu
#FreeTwahaMwaipaya
Politics in Africa’s east and southern corner borrows a liberal lexicon of rights, elections and constitutionalism. Underneath, it is a dirty game where one player holds almost all the cards https://t.co/nTw9nC3OnR