It is with great honor to be declared as the Muhasso President 2024/2025.
Special appreciation to all who supported us in one way or another. GOD bless you.
#ourpeopleourstand
@Ulayafacts For a marriage to work, occupation has literarily no role is more of chemistry, understanding each one feelings, capabilities and roles. So my take is, it will work if chemistry is mutual.
Nilipata nafasi ya kipekee kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana pamoja na kusheherekea mwaka mmoja wa taasisi ya Amo Foundation .
Mheshimiwa @patrobasskatambi_ alituasa Vijana kuzidi kufanya kazi kwa bidii kuwa na nidhamu, maadili pamoja na kufanya vitu venye tija na maslahi.
Karibu mental health hub https://t.co/ndrX88IqVp
Kuzungumzia afya ya akili ni muhimu sana kwa sababu inaleta uelewa na kukabiliana na changamoto zinazowakabili watu wengi leo.
Jiunge nasi Ijumaa hii Katika kujadili umuhimu wa kuzungumzia afya ya akili .❤️🥳🥳🥳
@Alice_Erasto_
MHE. @GloryLivingst13 ameteuliwa kuwa Waziri wa Afya na Mazingira, katika Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi
Muhimbili (MUHASSO) 2024/25
Tunampongeza kwa uteuzi huu na tunamtakia kila la heri
katika majukumu yake mapya
@ummymwalimu
Tunayo furaha kubwa kuwajulisha wana MUHASSO na umma kwa ujumla kuwa katika kikao cha Bunge la MUHASSO kilichofanyika jana, Mheshimiwa Rais David Machange @thisismachange alimteua rasmi Estom D. Uvambe @davison_estom kuwa Katibu MUHASSO kwa kipindi cha mwaka 2024/2025.
Tunayo furaha kubwa kuwajulisha wana MUHASSO na umma kwa ujumla kuwa Mheshimiwa Marco Njile amechaguliwa rasmi kuwa Waziri Mkuu wa MUHASSO kwa kipindi cha mwaka 2024/25.
Chole, 17 Juni 2024 - MUHASSO kupitia wizara yake ya Michezo, imetoa zawadi kwa washindi wa Bonanza la Soka Chole lililofanyika jana kusherehekea Eid.
MUHASSO inalenga kukuza maslahi ya wanafunzi na kushiriki katika maendeleo ya jamii kupitia programu za elimu na michezo.
Ungana nasi muda huu kusikiliza kipindi cha POWER TIME.
Tuma ujumbe wako kupitia 0763489945. tuambie unatusikiliza ukiwa wapi?
ONLINE RADIO
👇👇👇👇👇👇 https://t.co/QM0ZbwHfoa
🗞️ KIKAO CHA KWANZA CHA BUNGE LA MUHASSO 🗞️
Ofisi ya Rais wa MUHASSO @thisismachange inatangaza kufanyika kwa kikao cha kwanza cha Bunge la wanaMUHASSO, kitakachofanyika Ijumaa tarehe 14 Juni 2024 kuanzia saa 11:00 jioni katika ukumbi wa L4.
Attending the mental health dissemination conference was a profound experience.
The sessions offered invaluable insights into the complexities of mental health, emphasizing the importance of awareness, support, and compassion.
Together, we can make mental health a priority.
Tarehe 8/6/24 nilishiriki uzinduzi wa Taasisi ya DEN UNDER 30, yenye dhamira ya kuinua wanawake kielimu na kiuongozi. Kama Rais wa serikali ya wanafunzi Muhimbili, niliahidi kutoa ushirikiano kamili kwa wanawake wote wanaoazimia kushiriki katika uongozi na shughuli za kijamii.
Mashindano ya Win and Learn @WINANDLEARN1 Yamewadia
Jiandae kwa siku ya kusisimua ya ubora wa kitaaluma na ushindani mkali 🏆📚
Tukio hili ni kuhusu kuvuka mipaka, kupanua maarifa, na kuthibitisha kwamba Akili na Juhudi zinaweza kufanikisha Chochote🤗
Our People, Our Stand✊🏽
🌟 On May 28, 2024, MUHAS students and Dr Maryam Amour @amour_maryam visited Wingu Africa @WinguAfrica to thank them for their financial assistance to 24 students.
They toured the data center, learning about the company's values and commitment to future leaders.