@VodacomTanzania I have been a customer of Vodacom for almost 20 years, I suggest that if there is a problem with your network, you should compensate your customers so that we can continue to trust your service.
@NjiwaFLow Nawaza kwa sauti wengi tunaolaumu mtandao unasumbua tunaingia social networks kupata burudani, wala hatupati faida yoyote tofauti na kupoteza mda ila hii Dunia ina siri jamaani hata hamsemi.ππ
@ITVTANZANIA Shabiki wa #Simba Toka Geita Tz,
#NDIYO Treni ya kisasa isiwe sawa na ya zamani; mamlaka wanatakiwa kuboresha mazingira na miundombinu isijirudie makosa yaliyopita.
@ITVTANZANIA Shabiki wa #Simba Tokea Geita Tz,
#NDIYO adhabu pekee haitoshi waondolewe kabisa hawatakiwi kusimamia misaada kwa wahanga wa mafuriko sababu hawana tofauti na wauaji.
@ITVTANZANIA Shabiki wa #Simba Kutoka Geita Tz,
#NDIYO adhabu pekee haitoshi waondolewe kabisa hawatakiwi kusimamia misaada kwa wahanga wa mafuriko sababu hawana tofauti na wauaji.
@ITVTANZANIA Shabiki wa #Simba Toka Geita Tz,
#NDIYO adhabu pekee haitoshi waondolewe kabisa hawatakiwi kusimamia misaada kwa wahanga wa mafuriko sababu hawana tofauti na wauaji.
@ITVTANZANIA Tokea Geita Tz,
#HAPANA sioni haja kuwalaumu waalimu sababu uwezo na vipaji vya kuelewa vinatoka kwa Mungu; siyo kila jambo lazima ufundishwe darasani nakumbuka nilisoma na wanafunzi wawili mpaka darasa la 6 hawajui kusoma na kuandika.
@ITVTANZANIA Natoka Geita Tz,
#HAPANA sioni haja kuwalaumu waalimu sababu uwezo na vipaji vya kuelewa vinatoka kwa Mungu; siyo kila jambo lazima ufundishwe darasani nakumbuka nilisoma na wanafunzi wawili mpaka darasa la 6 hawajui kusoma na kuandika.
@ITVTANZANIA Toka Geita Tz,