@davidsdiason@munyamambogo Kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake Mzee. Hujasikia watu wameingilia uzabuni wa jezi za timu ya Taifa bila Baba mwenye nyumba kujua! Unafikir nani mwenye nguvu hiyo!
@DuniaSlaveDunia Tanzania kipindi cha ukombozi wa nchi za Afrika around 1960's ndiyo ilikuwa kimbilio, ila Kwa sasa ipo kwa Parallel State Kwa msemo wa Pole pole, ni hatarii kuliko ukoma wenyewe. Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki Watanzania.
@eastafricatv Every river has its start point and end point. Let Love prevail to our country rather than everyday thinking about harming people. Mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone dhidi ya kule mbele tuendako. Uganda = Mseven Kenya = Ruto Burundi ? Rwanda = Kagame
Zambia? TZ!
@lifeofmshaba Wazee wote waliozipagania nchi kutoka kwa Mkoloni, wanaziona kama za kwako. Mtu mwingine akihitaji ukombozi huo wanataka naye apitie njia zile zile walizopitia, zaidi ya hapo ni kelele tu kwao.
@salim_alkhasas Zambia na Malawi Kura zinahesabiwa kaka. Matarajio ya Wananchi yanahitimishwa na Kura zao ila Zimbabwe mshindi atatokana na wanaohesabu.
@Thommunkondya Thom Mkondya, moja ya sifa ya MWANAUME ni kuepuka kujieleza sanaa. John Heche ana short and clear statements, mfano anasema Kampun ya Vitol imepewa tenda ya kutuagizia mafuta nje na inatuuzia sisi bei ya juu kabisa ukilinganisha na Uganda na Msumbij. Hili nalo linahitaji makala!
@mwakambind32591@Thommunkondya 2005 alikuwa bado hajapevuka vzr, mwambie, enzi hizo walikuwepo pia akina Dk. Wilbroad Slaa na Mchungaji Mtikira.
Tena aambiwe walikuwepo Waandishi wabobevu akina S. Kubenea waliojua kumaintain/kubalance mambo kwenye uandishi. Kijana asaidiwe CD ya kampeni za Slaa 2010 - 2015.
@Salamaenrich@Bycola3@HecheJohn@peacemaker_tz Hela ya laana haijawahi kutosha. Inatesa yeye na uzao wake. Hawa ndiyo wanawafanyaga binadamu wenzao miungu watu, as if they never die. Hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho. Still tupo DUNIANI, yetu macho.
@hancymachemba@SusuErnest Kwenye Bible, Mfano wa Delila haukutolewa kwa bahati mbaya. Mfano huu, ulikuwa unajaribu kutufungua macho Wanaume kwamba; Mwanamke ni kiumbe wa namna gani. Mwanamke hana kiapo my brother, the same happened to Adam & Eve. Dunia ilianguka, sababu yake.