Baba - Raisi Mstaafu.
Mama- Mbunge.
Mtoto: Mbunge & Waziri.
Lazima utuone tunaodai KATIBA MPYA hatuipendi AMANI ya hili taifa.
Tunataka KATIBA MPYA tukomeshe HUU UPUMBAVU.
Hii ni nchi ya watu zaidi ya milioni 60 haiwezekani miaka nenda RUDI ni nyie tuu na familia yenu kama hii nchi ni URITHI WA UKOO WENU.
Tunataka katiba mpya tusafishe huu uozo wote huu.
Zanzibar wana mambo yao na wanakaa wanayeweka wanavyotaka wao kwa kushikana shikana mikono, hili ni lao huko Zanzibar
Lakini Tanganyika hatutaki tena huu uduanzi wa kufunywa kama mataira , tunataka sheria zimenyooka na uwajibikaji
Wananci