Unakurupuka sana! @MariaSTsehai
Sidhani kama umewasiliana na @hechejohn halafu akakupa ruhusa ya kunijibu hivi๐๐๐๐
Tena unanichokoza kabisa nilete uthibitisho!๐คฃ๐๐ผ
Sasa wewe @MariaSTsehai na @hechejohn semeni Su! Niweke mzigo full kisha watanzania wataamua ni AI au sio AI
@MariaSTsehai Sidhani kama umewasiliana na @hechejohn halafu akakupa ruhusa ya kunijibu hivi๐๐๐๐
Tena unanichokoza kabisa nilete uthibitisho!๐คฃ๐๐ผ
Sasa wewe @MariaSTsehai na @hechejohn semeni Su! Niweke mzigo full kisha watanzania wataamua ni AI au sio AI?
Kama mpaka sasa hujaona connection ya bwana @hechejohn basi huna marafiki social media pita @peacemaker_tz
Bado nasubiria Heche mwenyewe aseme ni mkono wa baunsa niwape yenyewe yenyewe ๐คฃ๐๐ผ
Ila @hechejohn hatujakuzoea hivyo huwa unajibu sana mbona saizi upo kimya?
@Taimweusii@HecheJohn@peacemaker_tz Si huwa mnaongea sana kuwachafua na kuwadhalilisha tena kwa uongo? Ya kwenu ni real mnaanza kututishia kesho? Kwani bado nini ambacho mmekitunza msikifanye kwaajili ya kesho?๐คฃ๐๐ผ

Huyu ni mtu mmoja au akaunti ni ya Taasisi hii! Yaan wafuasi na wapenda chadema wanashindwa kuhoji sasa hivi wamekaa tu na vigunzi shingoni ๐ dadeki chezea udikteta wa Heche!!
Demokrasia, mnaijua demokrasia nyie haya wekeni demokrasia mezani tuone? ๐ SEMA KIMEUMANA.
Maelekezo mengii haya yaliyojiri nimeyaona!
Heche anajenga kwao, ilikuwaje miaka yote ya ubunge hajajenga kwao, hii sasa kisabo akamwambie na Lissu akajenge kwao! Sasa kama Heche anajenga sasa dereva wake je maskini yule marehemu si ingemchukua miaka.
@MariaSTsehai Nimekufata hapahapa kikongwe usochunga sukari kwa umri ulio nao unarukia gari kwa mbele utavunjwa ajuza
Eti AIโฆAI inatoa miguno huku inaita jina la kibantu kwa lafudhi yake?
Umekuja lini bibi mpaka hata hujui tofauti ya AI na uhalisia?
We Nsaka nini?๐