@Odoyo06849275@NNgabu_@HecheJohn Acha matusi wewe kipele heche ni ombaomba kama ombaomba wengine mnawaomba wananchi maskini si mwende katoro kwa GSM aibu kweli chadema watoto waasi wa CCM
@davitheempire Halafu eti mpewe nchi acheni utani aisee nyie inabidi muwepo kuchombezachombeza tu ili mradi ionekane kuna upinzani mnazidiwa hela na GSM wa katoro??
@Sativa255 Nendeni kwa GSM wa katoro maana mnatia aibu sana kuomba omba mtandaoni mnazidiwa na kamati ya harusi halafu mnataka mpewe nchi si mtaimaliza kwa njaa hizo??!!!