Baba Elsie/ Husband/ Marketer by Pro ๐/Mzumbe University Best Student Award 2015-2018๐ / Business Analyst ๐/ Believer โช/ G.O.E๐/@LFC supporter โฝ
Tausi kuna uhuni sana, leo kulikua kuna mradi wa viwanja Bagamoyo, viwanja 50 na zaidi. Lakini ile sekunde tu viwanja vipo hewani vyote vimeshaisha. Huu ni uhuni.
I urge Heads of State and the leaders of nations to listen to the cry of the poorest. There can be no peace without justice. The poor remind us of this in many ways, through migration as well as through their cries, which are often stifled by the myth of well-being and progress, which does not take everyone into account.
Wananchi wameona mambo yasiwe mengi! Serikali ipo na wanalipa kodi lakini barabara wanapiga chenga, wanateleza kama kambale, wanapiga kabobo tu!!
Wananchi wanachukua hatua wenyewe, kidogo kidogo watu wataona hakuna umuhimu wa serikali sasa!!
chadema, haraka bila kuchelewa, wawafikishe mkurugenzi wa idara ya uhamiaji na attorney general mbele ya mahakama ili waeleze ni kwa maslahi gani ya umma wanawazuia rai kufurahia haki yao ya kikatiba ya kutembea. mahakama inaweza kuwa inaisubiria hii petition kwa hamu kubwa.