21% ya vyakula vya mafuta vilivyopimwa vilionesha kuwa na athari kwa mlaji kwa kuwa na Trans Fat
Wananchi wanapaswa kuelimishwa jinsi ya kutambua vyakula hivi ili kuwaepusha na magonjwa - @tiketiko
Mkurugenzi wa @TawlaTZ
“Tafiti za kisayansi zinaonesha kuwa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu husababishwa na ulaji usiofaa,matumizi ya sigara na pombe,matumizi ya vyakula vyenye kiwango cha juu cha trans fat, pamoja na kutoshughulisha mwili.”~|@tiketiko | Mkurugenzi @TawlaTZ.
#TransFatFreeTZ
"Mapendekezo haya ya WHO yalitolewa toka mwaka 2011 na wanachama wa umoja wa kimataifa waliridhia kutunga kanuni na sheria hizo hadi ifikapo mwaka 2023 lakini ukweli ni kwamba nchi nyingi duniani bado hazijatunga sheria hizo." @tiketiko | Mkurugenzi @TawlaTZ.
#TransFatFreeTZ
"kutokana na athari za TFA kiafya, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitoa mapendekezo kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kutunga sheria zitakazo dhibiti kiwango cha TFA kwenye bidhaa za vyakula ili kulinda afya za walaji." @tiketiko | Mkurugenzi @TawlaTZ#TransFatFreeTZ
Nchi nyingi bado hazitungi sheria kudhibiti vyakula vya TransFat lakini madhara ni makubwa na gharama kubwa inatumika kutibu wagonjwa - @tiketiko Mkurugenzi wa @TawlaTZ#TransFatFreeTz
UKWAA LA AFYA - CAMMAC 2024
Katika Mkutano wa Afya Tanzania( @tanzaniahealth) unaofanyika Zanzibar, wadau washirika wanaofanya kazi kwa lengo la kukabiliana na vifo na madhara kwa akina mama vinavyosababishwa na utoaji mimba usio salama na matatizo yake nchini Tanzania watajikita katika kuchambua maendeleo ya Tanzania katika utekelezaji wa Mkataba wa Nyongeza wa Maputo, hususan kuhusu #HakiYaAfyaYaUzazi na Uzazi wa Mpango (SRHR).
Jukwaa hili litaangazia mafanikio na maendeleo yaliyopatikana huku likikabiliana na changamoto zinazoendelea kuzuia utekelezaji kamili wa haki hizi.
Kipaumbele kitakuwa kwenye Ibara ya 14(2)(c) ya Mkataba wa Nyongeza wa Maputo, inayozungumzia haki ya uzazi kwa wanawake, ikiwemo upatikanaji wa huduma salama za utoaji mimba, huduma za afya ya uzazi, na uzazi wa mpango.
Majadiliano haya pia yataangalia mikakati ya uhamasishaji ili kuimarisha ulinzi na ukuzaji wa haki za wanawake nchini Tanzania, na kutoa mapendekezo yanayoweza kutekelezeka kwa ajili ya kuboresha utekelezaji.
@tiketiko@MarieStopesTZA@wgnrr_africa
#CAMMACForum2024
#SRHR
#HakiHainaJinsia
The workshop is also aiming at reflecting on laws and practices that are holding women and girls in Africa from enjoying their rights to the fullest and design strategies that are aimed at increasing implementation of decisions, judgements related to women's and girl's rights.
Wananchi wa Tanzania na Wadau wa Haki za Watoto, leo September 14,2024 wamefanya matembezi ya amani Jijini Dar es salaam kuonesha uchungu, huzuni na kusikitishwa na matukio yanayoendelea Nchini yanayohatarisha ustawi wa Watoto ikiwemo ubakaji, kutekwa na mauaji ambapo wamemuomba Rais ambaye ni Mfariji Mkuu na Mama, kuendelea kusisitiza ulinzi na usalama wa Watoto ikiwemo kuzitaka Taasisi zote zenye dhamana ya ulinzi wa raia kutimiza majukumu yake na kukamilisha kwa haraka uchunguzi na mwenendo wa mashauri yaliyofikishwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ili haki itendeke kwa wakati.
Kwenye tamko la pamoja walilolitoa wamemshauri Rais kumuwajibisha Waziri wa Mambo ya Ndani na kuunda chombo maalamu kitakachofanya uchunguzi wa vyanzo vya ukatili unaoendelea na kudhibiti “Pamoja na jitihada ambazo Jeshi la Polisi limechukua, haturidhishwi na kasi ya ufuatiliaji wa matukio ya kutekwa, kupotea na kuuwawa kwa Watoto yanayoendelea katika Nchi yetu, tunatoa rai kwa Jeshi la Polisi kuwa uchunguzi wa matukio haya upewe kipaumbele na umma upewe taarifa sahihi na kwa wakati, ulinzi na usalama wa Wananchi wakiwemo Watoto uongezeke kuanzia ngazi za Kaya hadi Taifa”
“Tunatoa rai kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufanya mapitio ya Sheria ya Kanuni ya Adhabu ili kufuta dhamana kwa makosa yote ya ubakaji na ulawiti kwa Watoto, tumekuwa tukishuhudia Watuhumiwa wa makosa haya wakikamatwa na baada ya muda kutoroka au kuwa nje kwa dhamana, jambo ambalo hupelekea Wahanga kutishwa, kufanyiwa tena vitendo hivyo, kupoteza ushahidi lakini pia linashusha imani ya Wananchi kuhusu mifumo ya utoaji haki kwenye makosa ya ubakaji na ulawiti wa Watoto na hivyo kupunguza ushirikiano pale yanapotokea”
#MillardAyoUPDATES
Wadau wa Haki za Watoto Nchini Tanzania wametoa ujumbe mahususi kwa kundi la Wanaume kuwa matukio ya ubakakaji na ulawiti kuwa Watoto yanayoendelea Nchini hayatoi taswira nzuri kwa Wanaume na hivyo wametaka Wanaume wajitafakari kwa haraka na wajiulize wanajenga Jamii ya namna gani na kuwataka Wanaume watoke na kukemea tabia za Wanaume wenzao wanaofanya vitendo hivi na kuleta hofu kama ni salama kuwaacha Wanaume na Watoto kwenye Jamii.
Wadau hao wa Haki za Watoto wametoa kauli hiyo kupitia tamko la pamoja walilolitoa leo September 14,2024 wakati wa matembezi ya amani waliyofanya Jijini Dar es salaam kuonesha uchungu, huzuni na kusikitishwa na matukio yanayoendelea Nchini yanayohatarisha ustawi wa Watoto ikiwemo ubakaji, kutekwa na mauaji.
“Wazazi, Walezi, Waalimu, Viongozi wa Dini na Jamii kwa ujumla tuongeze ulinzi kwa Watoto wakiwa nyumbani, kwenye taasisi za umma na binafsi, mtaani na mahali popote, tuhamasishe Watoto kutembea katika makundi, tuunde vikundi vya ulinzi shirikishi katika Jamii zetu na kuwaelimisha Watoto kutokubali kuambatana na Watu
wasiowafahamu”
“Tunatoa wito kwa Wadau wa Ulinzi na Usalama wa Mtoto kote Nchini kushirikiana katika kumlinda Mtoto ikiwa ni pamoja na kuelimisha Jamii kuhusu ulinzi wa Mtoto, hii ni pamoja na kuikumbusha Serikali kutimiza wajibu wake katika ngazi zote pamoja na kukemea vikali ukatili dhidi ya Watoto, Jamii itambue umuhimu wa kushiriki katika ulinzi wa Watoto hasa wenye ulemavu katika Jamii yetu”
“Kwa kuhitimisha, tunasisitiza kwamba ni wajibu wa kila mmoja wetu kuhakikisha Watoto wetu wanakua katika mazingira salama, ni wakati wa kuchukua hatua
madhubuti ili kuzuia matukio kama haya yasijirudie na kuhakikisha kuwa haki za Watoto zinalindwa kikamilifu kwani ustawi wa Watoto ni ustawi wa Taifa zima”
#MillardAyoUPDATES
"Ni vyema kula vyakula bora na vyenye virutubisho vya kutosha ili kujikinga na magonjwa yasioambukiza." @tiketiko | Mkurugenzi wa @TawlaTZ.
#FOPWL#HakiHainaJinsia
A once-proud tree “Withered tree”
Like any other tree, it emitted blossoming beauty,
Its vibrance soared higher to the exquisite sky,
It cascaded cool shades with its branches,
The land thrived with its beauty.
The eyes envied its lavishing emerald beauty,
The leaves were intact, swinging in its branches
Never seeming to perish or die, it emitted a fresh scent,
The sturdy trunk stood unyielding.
Birds flying and singing in the green branches,
No hint of the sun’s scorching grip, and neither it's rays,
Nor did the impending storm's fury trouble its leaves,
Blindsided by an unexpected event.
The whirlwind's wrath shook its steadiness,
The spirit fractured and fear crept in subtly,
It curled its soul into a deadly darkened horizon,
Slowly lost its grip on its ruins.
One by one, leaves of pale yellow appeared,
Descended mournfully,
Bare branches, skeletal and stark, remained,
The tree fell into its bottomless pit.
It's heartbreaking to read about a withered tree,
The acute agony is immeasurable,
Yet in its withered state, birds still finds solace,
A flickery of hope persists.
Permission to ask a direct question: ndiyo tuseme mradi wa SGR unakufa. Wewe unayeshangilia changamoto zake unanufaikaje? Unahisi alama zako za IQ zitakuwa ngapi hadi unashangilia kodi yako kupotea bure?