Leo, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, nimewaapisha Wakuu wa Mikoa mbalimbali, pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa, viongozi niliowateua hivi karibuni.
Katika hotuba yangu kwao, pamoja na Wakuu wa Mikoa wanaoendelea na majukumu yao, nimetoa maelekezo yafuatayo kwa lengo la kuchochea maendeleo na kuboresha huduma kwa wananchi:
1. Watambue kuwa wao ni wawakilishi wa Rais katika maeneo ya utawala waliyokabidhiwa, hivyo wajibu wao mkuu ni kuwatumikia wananchi.
2. Waendelee kuimarisha ukusanyaji wa mapato na kusimamia matumizi ya fedha za umma, badala ya kutegemea kila kitu kutoka Serikali Kuu.
3. Wasimamie upangaji wa wafanyabiashara wadogo katika maeneo rasmi bila kutumia nguvu.
4. Wahakikishe mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri inatolewa kwa vikundi vitakavyokuwa na matokeo chanya.
5. Wasimamie matumizi bora ya ardhi kwa kuzingatia mipango miji ili kumaliza migogoro ya ardhi.
6. Kila Mkoa uendelee na maandalizi ya kukabiliana na mvua za El Nino, pamoja na kuhakikisha maeneo yao yanakuwa safi wakati wote.
VIDEO:
Mhariri Msaidizi wa Chombo cha habari cha Standard Group cha nchini Kenya, Alex Kiprotich ametekwa usiku wa kuamkia leo na watu wenye silaha wasiojulikana.
Taarifa iliyochapishwa na ukurasa wa chombo hicho cha nchini Kenya imesema kuwa Mhariri huyo ametekwa akiwa kwenye gari lake katika barabara ya Gilgil-Nakuru.
Viongozi hasa wa upinzani, wananchi na wanahabari nchini humo wameanza kupaza sauti wakitaka kuachiwa haraka kwa mwandishi huyo kwani 'Uandishi wa habari sio uhalifu'.
Hii inakuwa tukio la pili kwa mhariri wa chombo hicho kosoaji kwa serikali ya Rais William Ruto kutekwa, mara baada ya jaribio la kwanza lililokwama ambalo lilimlenga mhariri huyo ambapo watu waliokuwa katika gari aina ya probox kujaribu lakini hawakufanikiwa.
Haya yanatokea miezi kadhaa mara baada ya chombo hicho kulalamikiwa na Rais Ruto katika mtandao wa X akidai kuwa kimekuwa kikitumika kumchafua na kimeacha kufanya kazi za kihabari huku kikitumika kuchapisha habari mbaya tu dhidi yake.
Kuna huyo kaka anaitwa walecy, huyo kazi yake ni kupanda live na kustay handsome haongei wala hajibu mtu
Madem zenu ndo wanapambana kujiongelesha kwenye comments๐
More than a year in jail simply for asking for election reformsโฆโฆ..
@TunduALissu Stay strong, we are all behind you.
And we thank you for this sacrificeโฆโฆโฆ.
Mawinga wote wako smart balaa bila shaka wanaishi ile kauli ya utambulisho wako umshawishi mteja kununua bidhaa yako
Tena wale wa nguo ndio wanakuwa wanyamwezi kama wamarekani fulani hivi๐ซก๐๐พ
Thank you, @TechCabal.
But I would like to clarify something: I am not an influencer. I stopped being an influencer and became a full time activist about two years ago.
For many years, I moved between being an activist and an influencer, depending on what was happening in my native country, Tanzania. But for the past two years, I have dedicated myself fully to activism, and that is what I intend to do for the rest of my life, or until Tanzania is free from mass killings, kidnappings, arbitrary imprisonment, fabricated treason charges, forced disappearances, sexual torture, and the silencing of the media.
I will continue this fight until Tanzanians are truly free to exercise their democratic rights, to vote freely and fairly, and to choose their own political party, parliament, and president.
This is no longer a phase or a platform for me. It is a commitment to my native country and to its people.
https://t.co/ncJ7zqkVHt