@meamswahili@ABC Hivi Mfano chobwedo au Kibabage au bakari Nondo amestaff Soka Akienda hizo nchi zao na wao watapokelewa na Msemaji wa Serikali na Waziri wa Michezo?
@BesteNicolas Zaman Wazee Walikuwa Wanaenda Milimani Kuomba Mvua na Zinanyesha Mambo Yote waliyoomba Yaliwezekana Leo Hii wajikusanye Mashekhe Wote na Wachungaji Hata Manyunyu hayatoki
@Sisimizi3 Hii x imekuwa kama facebook sasa
Bro ile ni pistol ya kuwasha (starting pistol / flare gun / light pistol) — ambayo ni silaha ndogo ya sherehe na sio silaha ya kivita hii pia ipo aina yake nyingine ambayo hutumika kuombea msaada kama unaemergenc katikati ya bahari