Mtume Muhammad S.A.W alisema "Asitamani mmoja wenu kifo kwa sababu ya taabu zinazomzonga, kwa sababu ya misukosuko ya dunia, kwa sababu ya maisha magumu. Ukasema natamani nisingekuwepo katika dunia au hata kutamani kujiua." Hakika ya Mwenyezi Mungu yuko na wenye kusubiri.