Wazazi/Familia, skills ndogo ndogo tuwafundishe watoto wetu sisi wenyewe; si kila jambo akajifunze shule...
Yaani kweli kuhesabu, kuandika na kusoma ndo kumfanye mtoto wa miaka 5 aamke saa kumi na moja asubuhi kuwahi shule!!?...
TICKETS TICKETS TICKETS
29 March 2025 NALIMI SHOW tunatarajia kutoa Bidhaa yetu ya kwanza , STAND UP COMEDY SPECIAL Son Of Gloria ambayo ni special yangu ya nne kwenye career yangu.
KARIBUNI SANA.
Kuendelea kushangillia, kusherekea na kuhamasisha MATUSI,DHARAU ,KEJELI..dhidi ya mtu uliewahi kuwa nae kwenye mahusiano (Ex) ni kukosa UTU, BUSARA, HEKIMA na USTAARABU. .
Nitumie fursa hii kukukaribisha kwenye βοΈ safari yangu mpya THE NALIMI SHOW pale MAKUMBUSHO YA TAIFA-THEATER, tarehe 30 March,2024.
Tickets
Emirates 15k
Qatar. 30k
AirTanz. 50k
Tarehe 17 IJUMAA hii mwezi huu pale NATIONAL MUSEUM THEATRE- POSTA, Nalimi na marafiki zake tumekuandalia stand up comedy show, tukafurahi pamoja walau turahisishe life π..
Tickets....
VVIP 50k
VIP 30k
Regular 15k
Call/text : 0622201833