@KenyanSays kwamba first job in a office ni kuhakikisha unamnyamazisha mwanamke haki ya mungu hii nchi Mungu aifute tu wote tukawe wakimbizi nchi nyingine mbona kama muhamiaji huyu anataka kufanyia hvo mtz mwenzie
Je nafasi ya kufanya angalau reforms kadhaa ili wasaini je? Nyinyi mnabadili jina tu ndo mnaita reforms kweli mbona mnataka kutupeleka kwenye shida kwa muda mfup
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi.
Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Ado November kutoka Chama cha Wanasheria wa Serikali alisema chama hicho kinayo fursa hiyo.
Kanuni hizo tayari zilishatiwa saini na Vyama 18 vya Siasa nchini isipokuwa CHADEMA pekee ambao walitaka kufanyika mabadiliko kwanza ili kutia saini.
โLeo CHADEMA wakija wakitaka kushiriki nafasi wanayo โas long asโ hatujafikia hatua ya kuanza mchakato wa uchaguziโ.alisema Ado
Imeandikwa Na Enock Charles, Dar es Salaam
Tembelea https://t.co/kwAYTrP3RO kusoma gazeti lako au wasiliana nasi ๐+255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi.
#NipasheDigital #NipasheMwangaWaJamii #miaka30yakupashahabari