@MayengoDr Kama mtumishi analipwa mshahara wa million 20 au 30 kwa mwezi, halafu anapata mil 200 kama posho, Yani posho inakuwa 10X ya mshahara ilo pia ni tatizo tunalo kama nchi, ni mbinu tu za upigaji, wanaocontrol posho ndio hao hao wanaocontrol mishahara...
@amani_mfaume@AmRosalinee Hapo ndio kwenye shida, mimi naamini hata ndani ya CCM kuna watu kibao wenye uwezo wa reasoning kuliko huyu... Sijui shida ni nini?
@CoolestDudeOnX Sasa kama umeona hayo , bado unaamini Polisi anatakiwa atengenezwe fasta fasta ( 6 months) badala uitaji wapate mafunzo zaidi kwa sababu ni watu muhimu, wakifanya vibaya madhara ni makubwa
@Babuuh_A@JoyceHuru Hakuna cha kutambua hapo... Sheria ipo wazi, mtu akifanya kosa la jinai kama vile shambulio ni kukamatwa, kesi ifanyiwe upelekezi kisha mahakamani, hizo sababu za kushambulia atazitumia kujitetea mahakamani... Ila kukamatwa na kuwekwa ndani sio kosa hapo
@tonyalfredk Wewe unachanganya kati ya equality na equity. Kwa idadi ya watu na ukubwa wa ardhi ni ngumu kila kitu kuwa na mgawanyo wa 50/50 . Ukifanya hivyo ni kuionea Tanganyika. Mfano ktk maraisi 8, kila upande ukitoa wanne ina maana watu mil 60+ wametoa maraisi wanne na watu mil 4+ wanne
@DovesTrit@JumaMahuba@Awesially Vazi la utamaduni wa kiarabu ambako kuna waislam wengi na Uislamu ulianzia huko, ila Uislamu kama dini hakuna sehemu yeyote umelitaja kanzu kama vazi rasmi au bora zaidi kwa watu wake, miaka hiyo hata wale walikuwa wanapigana vita na waislam walikuwa wanavaa makanzu
@Baradhuli2 Shida ya kutokuwa na wagombea binafsi ni kuwa unafanya watu wawe wanaweka vyama vyao mbele kuliko taifa, chama kikishakamatwa na vigogo wachache wengine mnalazimishwa kukubali kila kitu kwa sababu utofauti unakufanya unyimwe nafasi na chama, taifa ni muhimu kuliko vyama.
@kaby_jr@balozi123 CDF haongozi jeshi la Polisi, wanaposema mkuu wa majeshi wanamaanisha majeshi yaliyo chini ya jwtz kama vile jeshi la ardhini, jeshi la anga, jeshi la maji ,JKT nk ... Sema anaweza pigiwa salute kwa sababu katika seniority ya majeshi linaanza jwtz kisha linafuata Polisi
@Aruatani Advanced diploma, ila sometimes mtu mwenye degree anaweza akaamua kusoma certificate,diploma au advanced diploma ya kitu fulani tofauti kuongeza CV na ufahamu tu
@privaldinho Haya mambo ya siasa kama mtu unaamua kukaa kimya, kama baadhi yenu kaeni kimya mazima, musichague kuzungumzia vya upande mmoja... Sikukuona ukichangia yule kiongozi aliposema bajeti ya Zenji haitoshi kuwatibu na wabara
@JestonNest51371@nulphin Sio kila kitu cha kufanya ushabiki, honestly mimi upande wangu mtu akishakua na elimu ya kuungaunga tu sina Imani naye tena...