Ruto dropped a freestyle speech at a convention yesterday in New York and schooled African presidents not to beg the west for cash and instead negotiate deals to use the enormous resources in the continent for own dev. This is a class address 👏🏾
Makosa madogo ya kiuhalifu (petty crimes) kama kukwapua simu, laptop na pochi za wadada yamerudi kwa kasi Dar es Salaam.
Hauwezi kusimama kituo cha daladala, au pembezoni mwa barabara, au kufungua vioo vya gari ukajihisi salama tena. Bodaboda itapita na mali yako na kwa bahati mbaya ni vigumu mno kui-recover kwa taratibu zetu za kiuchunguzi.
Zanzibar walipunguza haya (siyo kumaliza) kwa kufunga camera kila kona ya mtaa na kuhakikisha watu wakifanya uhalifu wanapatikana. Kigali, pamoja na kufunga camera, walihakikisha vyombo vya moto kama pikipiki vinafuata sheria za barabarani, na hivyo ikitokea anomaly lazima inakuwa flagged haraka na kutambuliwa.
Kuna hatua za msingi vyombo vyetu vinapaswa kuchukua tena kwa haraka vinginevyo hata shughuli za kiuchumi kama utalii vitaathirika.
Remittances: Tanzania Edges Out Saudia
Tanzania has edged out Saudi Arabia as a leading source of remittances to Kenya for the first time.
In August 2026, Kenyans in Tanzania sent home Sh1.52 billion, narrowly beating Saudi Arabia's Sh1.50 billion.
#NTVTonight@Karanja_Ibrah@SylviaKathoni
Leo kuna Dereva wa Bus kanusurika kutekwa bila wananchi kuingilia kati wangepotea nae.
Nchi yetu imefika pabaya sana, tumerudi zile zama za “Unanijua mimi ni nan..?”
Tunakoenda ipo siku tutakuja kusikia Wananchi wenye hasira kali wameipiga kiberiti Land Cruiser ya watekaji.
HABARI:
Hofu imetanda katika eneo la Makole jijini Dodoma baada ya dereva wa basi la kampuni ya Satco, lenye namba za usajili T308 EME, kudaiwa kutishiwa kwa silaha ya moto kufuatia ajali iliyohusisha basi hilo na gari aina ya Land Cruiser lenye namba T881 ENZ.
Kwa mujibu wa mashuhuda, basi hilo lilikuwa likitokea katika Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma kuelekea Geita, kabla ya kufika eneo la Makole ambapo inadaiwa Land Cruiser ililipita kwa upande na kusababisha magari hayo kugongana.
Mashuhuda hao wameeleza kuwa baada ya magari hayo kugongana, dereva wa Land Cruiser alishuka na kufuatwa na kile kilichoelezwa kuwa bastola, kisha kumfuata dereva wa basi na kumtaka ashuke na kuingia kwenye Land Cruiser.
Tukio hilo lilizua taharuki miongoni mwa wananchi waliokuwa eneo hilo, huku mazingira ya tukio yakisababisha hofu kuhusu usalama wa madereva na abiria.
Hata hivyo, madai kuhusu matumizi ya silaha katika tukio hilo bado yanahitaji kuthibitishwa na mamlaka husika, huku wananchi wakitaka vyombo vya usalama kuchunguza tukio hilo na kuchukua hatua endapo itabainika kuwa kulikuwa na ukiukwaji wa sheria.