Huyu mwandishi Khalifa said ni amempika sana Msingwa kwenye haya mahojiano mpaka kapanic kinoma , huyu Mwandishi ndio tunataka watu wahoji hivi by fact 😅😅😅👇👇
Kesi ya uhaini wa uongo na kubumba tu inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu A.M Lissu imehairishwa saa tano asubuni leo baada ya upande wa mashtaka kusema hawana shahidi mwingine kwa leo baada ya shahidi wa 16 wa Jamhuri, ACP Amin Mahamba kumaliza kutoa ushahidi wake. TAL ameeleza Mahakama hilo halitakiwi kutokea tena na kuanzia kesho Jamhuri wabebe mashahidi wa kutosha kwa siku moja #FreeTunduLissu #TunduLissuSioMhaini
Huu ni uthibitisho mwingine kwamba Nchi hii inaongozwa na dola la kipolisi (police state) kisingizio kwamba kuna mihimili mitatu ya dola ni uongo.
Kitendo cha mahakama ya kiraia kuwa inasimamiwa na polisi, na kila mara polisi wanapanga utaratibu, wanapiga watu na kumamata wengine ndani ya viungavya mahakama.
Chombo kilichopaswa kuwa kimbilio la wananchi pale wanaponyanyaswa na polisi, chombo ambacho kila mtu alipaswa kujiona ana haki sawa na atatendewa haki kwa mujibu wa sheria, chombo hicho kinapogeuzwa kuwa kama vituo vya polisi, watu wanapigwa, wanasukumwa, wanaonewa, wanapewa amri zisizo za kisheria Mwananchi atapata wapi haki?
Polisi waliokushitaki wanapokuja kusema hata namna ha wewe kusema mahakamani!!!!
Kitendo cha polisi kutupiga na kututishia ndani ya viunga vya mahakama ni kitendo cha aibu kwa muhimili wetu wa mahakama.
Nitamuandikia barua Jaji mkuu sio kwasababu naamini hayajui haya, ila kuweka kumbukumbu sahihi na rasmi.
Mahakama iko chini ya Jaji mkuu sio chini ya IGP.
Hadi sasa Samia ameteuwa Wenzetu zaidi ya 60 kuwa MAGAIDI. Awali tangu April mwaka jana aliteuwa watu zaidi ya 2500 kuwa Wahaini. What a mad woman she is!!
‼️MSAADA UNAHITAJIKA‼️
Mliokaribu na Jems Mbowe mwambieni akarudishe Vito vya dhabahu pamoja na fedha ambavyo aliiba nyumbani kwa Mjane wa watu huko Moshi.
Vito pamoja na pesa alizoiba vyote kwa pamoja thamani yake ni milioni 24, huyo Mjane alisharipoti tukio hilo kituo cha Polisi Moshi mjini ambapo alipewa RB namba hii ambayo nimeambatanisha kwenye post hii lakin mpaka sasa hajafanikiwa kumkamata wala kurudishiwa vitu vyake.
Sasa iko hivi huyo mjane ni mfanyabiashara ambae huna anasafiri sana, miezi kadhaa iliyopita huyo Mjane akiwa safarini Jems alihamia nyumbani kwa huyo mjane kwasababu alikuwa na mahusiano na Dada wa kazi huyo Mjane, kwa mujibu wa watoto wa mjane huyo wanasema Jems alikaa nyumbani kwao kwa takriban miezi mitatu na alikuwa analala na huyo Dada CHUMBANI KWA MJANE (Yani mama yao Mzazi), kwenye iko chumba walimokuwa wakilala Jems na huyo Binti wa kazi ndo kulikuwa na ivo Vito vya dhahabu pamoja na pesa zilizoibiwa.
Mjane aliporudi kutoka safarini alikuta pesa alizokuwa akihifadhi mahali ambapo anahifadhi miaka yote hazipo badae ndo akagundua kwamba hata Vito vyake vya dhahabu navyo vimeibiwa vyote.
Baada ya kuwabananisha watoto wake ndo ikabidi waseme ukweli kwamba kuna mgeni wa Dada yao wa kazi alikuja na alikuwa analala na Dada huyo Chumba kwa mama yao.
Baada ya Dada wa kazi kubananishwa ndo akasema mgeni mwenyewe ni Jems Mbowe, hata hii picha ya Jems niliyopost ilikutwa kwenye simu ya huyo Dada wa kazi na kuna video nyingi tu ambazo Jems alijipiga na kujirekodi akiwa chumbani kwa huyo Mjane.
Mjane wa watu amehangaika sana kupata HAKI yake lakini hajafanikiwa ndo maana imebidi jambo liletwe Public tumsaidie kupaza sauti ili aweze kupata Haki yake.
Kesi imeanza na Mwenyekiti Lissu akasema analo neno la kusema kabla ya kuanza kesi.
“ Lengo pekee la DPP (Mkurugenzi wa mashtaka)la kufungua mashauri haya ni ili kupoteza muda tu ili niendelee kukaa Mahabusu .
Leo ni siku ya 166 tangu tarehe 24 Februari tangu Mawakili wa serikali waende mahakama ya Rufaa na huko nikawashinda na sasa tumerudi Mahakama kuu lakini tumerudi baada ya siku 166,tuendelee lakini ipo siku tutazungumza kuhusu haya yote yalioendelea na kuhusu huyo anaewatuma na itambidi awajibike” anasema Mwenyekiti.
“Someone will have to pay for all of this someday” says Honerable @TunduALissu
“Serikali kukimbilia Mahakama ya Rufani ilikuwa ni kunipotezea muda wangu tu. Nilisema hili wakati ule, leo narudia tena. Leo ni siku 166 tangu 24 February 2024 tulivyoondoka hapa. Tumerudi hapa baada ya kupotezewa siku 166. Nasema hii kwa kuwa nilisema hapo awali, itakapofika siku itabidi tuzungumze kuhusu hii kesi ya bure tu inayofanywa na hawa mawakili wa Serikali na huyo anayewatuma. Someone will have to pay for this.” - Tundu A.M Lissu, 10 August 2026
Wazeee huyu Isaya yunge kumbe sio mnyonge wanangu nisameheni' Ni ngumu sana kutoka poor family kuja kuoa mtoto wa Raisi tena mtoto wa Ruto. Isaya mwaka 2018 alitajwa kwenye jarida la forbes kama upcoming billionaire under 30 years in Africa 🌍 mzigo upo na connection ipo
VIDEO:
Kada wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, leo Jumapili Agosti 09, 2026, amepinga kauli ya serikali kuwa imeshafikia makubaliano na vyama vyote vya siasa isipokuwa kimoja.
Mpina amerejea kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa tarehe 30 Julai 2026, alipokutana na viongozi wa vyama vya siasa Ikulu, ambapo alidai kuwa vyama vyote viko vizuri isipokuwa chama kimoja ambacho kimeelezwa na wadau siasa kuwa CHADEMA.
Mpina amebainisha kuwa msimamo wa ACT Wazalendo kuhusu maridhiano bado upo vile vile kama ulivyotangazwa kwenye matamko ya kamati kuu ya chama hicho. Mpina amesema kuwa hakuna maridhiano yoyote yanayoweza kufanyika bila kuzingatia misingi mitatu mikuu: Ukweli, Haki, na Uwajibikaji kufuatia matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Amesema kuwa CHADEMA pia ilishatoa taarifa tarehe 3 Agosti 2026 kuwa haijawahi kukutana kwa siri na CCM au serikali kwa mazungumzo yoyote.
“Sasa haya maneno ambayo anayazungumza mtawala kwamba ameshaelewana na vyama vya siasa isipokuwa chama kimoja ina maana gani? Ina maana gani?” amehoji Mpina.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka Wazazi na Walezi kuzingatia malezi ya Watoto kwa kuwajengea misingi ya kumpenda Mungu, kufanya kazi na kusoma.
Akizungumza katika Ibada ya Misa Takatifu Maalum ya Wanajumuiya wa Uru Seminari, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kristo Mchungaji Mwema-Tabata Kimanga, Jijini Dar es salaam, Nchimbi amesema Jamii inapoteza eneo kubwa katika malezi ya Watoto wa siku hizi.
Amesema Watoto wanapaswa kufundishwa kumpenda Mungu, kufanya kazi na kusoma, akisema baadhi yao wamejikita zaidi katika michezo ya mtandaoni badala ya masomo.
“Kanuni kuu tatu, sala, kazi na masomo, tuwafanye Watoto wajue na kumpenda Mungu, tufanye Watoto wetu wapende kufanya kazi, siku hizi Watoto wengi wanapenda game hivyo tuwafanye wapende kusoma kwani kutosoma kunawafanya wapende njia za mkato,” amesema Nchimbi.
Aidha, amesema Serikali itaendelea kuthamini mchango wa Taasisi za Dini katika Jamii.
#MillardAyoUPDATES