@djnsajigwa gari haikutokaa kwasababu yaheshima yakuwastiri ndugu zetu waliopoteza maisha ktk ajali ya mjeshi hata dpn yenyewe haikutoka kwasababu ilikuwa siku ya mazishi
@EpimackGerald@datius_tz hahah mimi kipindi hyo niko dom 10 kulikuwaaa hamnaa kashikashii maana form viiiiii ๐๐ tulikuwaa wawili tu ilikuwaa bataa
@EpimackGerald@datius_tz KIBITI hahaha 2020-2021 nimepoaa hapo dom lilikuwaa nawakatili sanaaa ๐๐๐๐ na dom 10 na 11๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ big up sanaa kwa chaliiangu UMBWE (UNIVERSTY OF MOSHI BUT NOT WELL ESTABLISHED) MTI SAFI๐ฅ๐ฅ๐ฅ
@baloziNM picha za
muda sana upost hyo chuzi acha kupotosha umma mzee wangu benz inataa mpya hapo na hyo DTF haiko ivo tena hapo achaa kuleta vitu vya zamani nyambafuu
@ScaniaEA@scania_Tanzania mnatakiwaa muipeee tuzo ya heshimaaaaa kampuni ya usafirishaji ya sauli luxury bus..wamerudishaa ya soko la mabus ya scaniaaa Tanzania lakni ndio kwanzaa mnainyanyasaaa aiseee