Sio kwamba mtu akikukopesha fedha hana matumizi nayo, ila kajitahidi kulipa uzito Tatizo lako, na kudumisha urafiki
Hivyo jua kurudisha fadhila kwa kulipa deni kwa wakati
Inaumiza🙏
Giant
2. UAMINIFU
Vijana wengi wakipewa nafasi hata hizi za field huanza vizuri lakini humaliza vibaya.
Vijana wamekuwa na tamaa kuliko hata shetani. Sijui huwa ni njaa au vipi. Waakiaminiwa na kutumwa kununua vitu wanawaza kuiba.
Ndugu yangu, utajifungia bahati mwenyewe.
As Man,
Kujipost hovyo mitandaoni.
Kupiga vyakula picha ili kupost mitandaoni.
Kula demu then kutangaza.
Kununia demu aliyekukataa.
Kutokuchangamkia wana wanaokusalimia.
Hizo ni trait za ajabu sana, sio vitu vya kuendekeza hata kwa bahati mbaya.
Hizi 2023 movies Za kuzingatia sio kinyonge.
1. SiSu
2. The Covenant
3. Dead Evil Rise
4. The mother
5. Black Lotus
6. Triple Frontier
Ipi haujaangalia?
✔️Usijaribu ku-charge simu.
✔️usikaushe simu Kutumia vifaa kama hair dryers n.k[ external heat source]
BAADA YA HAPO
✔️Weka simu juu ya Kitambaa chepesi kikavu au taulo laini kisha weka sehemu ambayo ni kavu ila siyo juani subiri kwa siku moja au mbili.
#ElimikaWikiendi
(9)
Bro
normalize kumtoa girlfriend wako outings na kumpa vijizawadi vidogo vidogo .
Kuna wana pesa zao hazina kazi watakusaidia kumpa vijizawadi na kumtoa dinner mwisho wa siku humkose uanze kutulilia
Hii ni Kwa Mwanamke ambae umeshajirizisha kuwa anakufaa
GOD is Good all The Time ..
Namshukuru MUNGU kwa Ushindi Huu Mkubwa nimepata Tuzo Yangu Nilio shida africa kusini as The Best Social worker of The year Africa "m Tanzania " pekee Kada Ya Ustawi Kushinda Tuzo International , Hii Ni heshima Kwa Taifa Langu Lakini , Heshima kwa raisi wangu @SuluhuSamia , Heshima kwa wizara yangu @maendeleoyajami Pamoja Na Waziri mwenye dhamana wa wizara nayo hudumia @Dr_DGwajima lakini Heshima kwa MANYARA NA MBULU KIUJUMLA
Its A New experience Kwangu
Nakumbuka Tarehe 16 May nilipokea email hii ✍🏻👇🏻
Dear Mr Thomas Simbeye,
I am writing to inform you that your nomination for the Award of Social Worker of the Year has been successful.
Congratulations from us!
The award will be announced on 25 May online during African Day Indaba. Please let us know if you are able to (1) attend (2) give a short acceptance speech.
"Hii email ilinipa faraja sana kuonesha kila nachokifanya kina thaminiwa sio Ndani ya inchi yetu , hata njee wana Thamini , asante sana
Nitaendeleaaa Kujitoa kwaajili ya Watu
Thank You AFRICA SOCIAL WORK Network
for this recognition
Jamani Niwatie moyo Inawezekana Hizii Tuzo Tukazileta nyumban Nyingi sana
Familia nisaidieni kupata Rt niweze kumzawadia mpenzi wangu Tillah kwenye shughuli zake za uandishi wa habari aweze kupata Video za Quality. @TecnomobileTZ#CAMON20ikoplenty
Samahani ndugu zangu WA TOT biashara nimekuja kwenu niombe Msaada niweze kupata Mali yangu kutoka Kwa mtu anaejiita @iPhone_Genuine ilikua 12/4 nilimtumia hela aweze nipatia simu iPhone 7+128gb simu alinipatia but ilikua out of makubaliano maan simu ilikua mbovu Sana kupindukia
Humu hata wanaoonesha chuki ikitokea mtu kapoteza kitu wanasikitika..wanaoonesha upendo ikitoea umepata wanaumia zaidi...wachache sana wana upendo wa ukweli kuwa makini